RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

toka lini mbowe ampe amri makamu wa raisi? sio Sawa, angekuwepo raisi angeweza kufanya hivo? after all lema ni chizi huwezi jua ataongea nn
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.

Ajali Zipo na zitaendelea kuwepo tu ndugu yangu.....

Hata ktk nchi zilizoendelea ktk teknolojia na kuwa na barabara za lami hadi ktk kwenye mitaa ya kuingilia ndani ya nyumba zao ajali zipo tu....!!

Ajali maana yake ni kukosea kwa binadamu ambaye siku zote hayuko na hatakuja kuwa mkamilifu !!!

Linaloleta mjadala siku zote ni lile ambalo ni always ni "unusual !!! "

Ajali za barabarani siyo kitu cha ajabu na ndiyo maana kuna precautions nyingi utembeapo na hizo zipo kwa ajili ya ku - minimize madhara tu iwapo ajali yenyewe itatokea lakini si kuzuia 100%!!
 
Ila ninacho kiona ni Watoto wenzie ndio wanashangiria upuuzi huu!!
Unaanzaje kulilia kuongea msibani!!?
Kila mmoja akililia kuongea itakuwaje!?
Tuseme wazazi na Lema nani mwenye uchungu wa msiba ule!!?
Kwanimi alilie kuongea lema na si Mzazi aliye fisha!!

Naona watu hawazeeki mwili bali Akili kwa sasa
Halafu tokea msiba umetokea wala hajakuwepo wala hajatembelea wafiwa.makamu wa Rais katembelea baadhi ya majeruhi na wafiwa makwao,lema analilia kipaza sauti
 
Ajali Zipo na zitaendelea kuwepo tu ndugu yangu.....

Hata ktk nchi zilizoendelea ktk teknolojia na kuwa na barabara za lami hadi ktk kwenye mitaa ya kuingilia ndani ya nyumba zao ajali zipo tu....!!

Ajali maana yake ni kukosea kwa binadamu ambaye siku zote hayuko na hatakuja kuwa mkamilifu !!!

Linaloleta mjadala siku zote ni lile ambalo ni always ni "unusual !!! "
Sijasema ajali zitakosa kuwepo, wapi nimesema hilo?
 
Huu Uzi wapuuzi wa LUMUMBA lazima waushambulie, hawana hoja sasa wanaongoza kwa vioja, ni kweli hata Lema angeongea wadogo zetu, kaka yetu na walimu wetu wasingefufuka, lakini ile busara tu ya kutaka undugu na Utanzania uwe imara,kulikuwa na shida gani RC kumuita Mbunge atoe neno, hata kwa dakika moja........CCM acheni hizo, mkisema CDM wanatafuta kiki kupitia msiba,mjitazame upande wenu........SIASA uchwara mnazofundishwa na baba yenu zinaliangamiza TAIFA.........taratibu kama moto wa nyikani, muda si mrefu msitu unateketea.
 
Hivi Gambo kahakikiwa? Sbb kichwa chake ni pacha na cha BASHITE.

Najua leo wamepigiana simu kupongezana ujinga!!
 
Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Pumbavu, unajua Mh. Lema ni nani Arusha? Huyo Gambo mwenyewe hana nguvu aliyonayo mbunge wa kuchaguliwa kwa kura za wananchi wa Arusha.

Kusema kwamba Mbowe alishawakilisha upinzani ni sawa lakini ikumbukwe kuwa Lema ndiye mbunge mahalia na alistahili kutoa pole kwa wafiwa ka niaba ya wapiga kura wake kama mbunge wa jimbo la Arusha.
 
kama mbowe anajua protocol mbona Mara kibao mameya wake na wabunge wake wanamkacha raisi?
 
Huu Uzi wapuuzi wa LUMUMBA lazima waushambulie, hawana hoja sasa wanaongoza kwa vioja, ni kweli hata Lema angeongea wadogo zetu, kaka yetu na walimu wetu wasingefufuka, lakini ile busara tu ya kutaka undugu na Utanzania uwe imara,kulikuwa na shida gani RC kumuita Mbunge atoe neno, hata kwa dakika moja........CCM acheni hizo, mkisema CDM wanatafuta kiki kupitia msiba,mjitazame upande wenu........SIASA uchwara mnazofundishwa na baba yenu zinaliangamiza TAIFA.........taratibu kama moto wa nyikani, muda si mrefu msitu unateketea.

Lema hakuonekana hapo kabla kuwatembelea wafiwa
lema hakuonekana akiwatembelea majeruhi
Ila wakwanza kuomba aongee yeye msibani kuliko kiongozi wake Mbowe!!
Mtatafuta kiki mpaka Kuzimu ninyi maana sio bure ni kulaaniwa huku
 
Back
Top Bottom