RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini? Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.
Moderator please badili heading kuwa "unamtaja Rais sio RC"
Wananchi wa Mbagala siku zote wanajitambua; hawakubali kulishwa matango pori. Hawa wanaojipitisha kumsifia Bi Tozo na kubandika mabango ya kumsifu nchi nzima ni chawa wake wanaonlamba mama miguu na makalio ili wapate kuishi.
 
Acha ujinga, tunadai TANROADS zaidi ya 400m, hela hakuna wakandarasi kibao wanadai, Mameneja wa Mikoa wanasema toka Feb hawawekewa hela, ujinga huu haukuwepo huko nyuma katika historia ya TANROADS
Uzushi huu
 
Endelea kuinba hakuna hela, hali mbaya sijui serikali haina hela.
Wenzio maisha yanaendelea.
Hakuna serikali inanunua magari mapya ya bei mbaya kama hii ya Samia na juzi tu kumepitishwa bajeti ya kununua magari mengi tu kwa ajili ya polisi, zimamoto, wakuu wa wilaya nk halafu wewe unasema eti serikali haina hela.
Posho ya kuandikisha wapiga kura sasa hv ni 60,000 per day kutoka ile 20,000.
Ajira mpya zinatolewa, watumishi wanapandishwa madaraja, per diem ipo juu, warsha, masemina kila uchao, makongamano ndo usiseme.
Wakubwa wako a angani wanashindana tu kwenda ughaibuni.
We endelea kuimba serikali haina hela!
 
Endelea kuinba hakuna hela, hali mbaya sijui serikali haina hela.
Wenzio maisha yanaendelea.
Hakuna serikali inanunua magari mapya ya bei mbaya kama hii ya Samia na juzi tu kumepitishwa bajeti ya kununua magari mengi tu kwa ajili ya polisi, zimamoto, wakuu wa wilaya nk halafu wewe unasema eti serikali haina hela.
Posho ya kuandikisha wapiga kura sasa hv ni 60,000 per day kutoka ile 20,000.
Ajira mpya zinatolewa, watumishi wanapandishwa madaraja, per diem ipo juu, warsha, masemina kila uchao, makongamano ndo usiseme.
Wakubwa wako a angani wanashindana tu kwenda ughaibuni.
We endelea kuimba serikali haina hela!
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini? Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.
Moderator please badili heading kuwa "unamtaja Rais sio RC"
Hii ni dalili ya nchi kwenda vibaya au watu hawaridhiki na mambo yanavyokwenda. CCM wayanye utafiti wa hali hii ambayo naona inalingana na ile ya ANC
 
Acha ujinga, tunadai TANROADS zaidi ya 400m, hela hakuna wakandarasi kibao wanadai, Mameneja wa Mikoa wanasema toka Feb hawawekewa hela, ujinga huu haukuwepo huko nyuma katika historia ya TANROADS
Halafu nyie wakandarasi wa ndani mnajenga barabara chini ya kiwango kwa kupiga 10%, kuna siku ntaweka picha hapa mtashangaa mainjinia waliosoma Ardhi University kuwa magumashi
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

View attachment 2993561
Hii momentum saizi inaongezeka kwa kasi sana na itafikia point wataanza kuficha jezi zao, time will tell.
 
Back
Top Bottom