RC Anna Mghwira: Mtu asijenifuata ofisini kuniambia masuala ya ACT Wazalendo

Act wasijekujisahau wakawa ndio wateja wa kudumu wa ofisi, maana wengine wanaweza hata kulala hapo hapo kama wale wa lipumba wakilinda ofisi.
 
Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho

Kwani Kilimanjaro kuna ACT?
 
LOL RC,mbona ulikabidhiwa ilani ya ccm?,na sio KATIBA?,na akaapa mbele ya Rais kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm?,kweli njaa mbaya,cancer hii ni kuwa na KATIBA mpya ambayo itatetea masilahi na haki ya watanzania na wote wanaoishi kihalali ndani ya jamhuri yetu,na itabidi viongozi wote waapishwe na JAJI SIO RAIS,maana watakuwa watetezi wa katiba sio kwa rais,na MAJAJI wasiteuliwe na rais,wawe wanaomba nafasi hiyo kama wafanyakazi wengine na kamati ya BUNGE yenye wajumbe kutoka vyama mbalimbali ndio iwayoji ,watakaopita interview hiyo majina yao yawakilishwe kwa rais kwa uteuzi.kinyume chake demokrasi ya kweli ndani ya nchi yetu itakuwa ni ndoto.
 
ACT= Akiba ya Chama Tawala.

Naona mama kishavurugwa tayari. Jana ameagiza kikao cha kumvua uenyekiti kisifanyike ACT wakakifanya na kumvua. Naona sasa ameamua kama mbwai na iwe mbwai
 
Aseme tu agizo hilo haliwahusu CCM.
Atashangaa pale ambapo Mwenyekiti au katibu wa CCM watakapo geuza ofisi yake kijiwe chao cha kuzungumza. Awe na akiba ya maneno huyu mama. Nadhani asipojichunga atakuja kuwa kama wajina wake Anna Kilango.
Magufuli haeleweki, anaweza kuja kumfanya kituko kasha aseme hawa wajiitao wapinzani hata ukiwapa kazi hawawezi.
 
Umeongea vizuri mama. Sisi ACT tumekupa go ahead katekeleze majukumu yako.
Tunaendelea kujenga chama makini.
Ccm ni chama hovyo kabisa hakina watendaji makini, sisi chama makini tutawapa wataalam kwa nia njema ya taifa letu.
Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho
 
Njaa ikipanda kichwani, halafu ukafika kwenye matumaini ya kupata chakula, unaweza kuropoka maneno ya kipuuzi kabisa.
 
Je kama wafanya sivyo nisije kukuona. Mi nadhani kama ni mkuu wamkoa unapaswa kusikiliza kila kitu hata watakao kuja kusema mambo ya Chadema wasikilize
 
Njaa mbaya sana jamani, Mwenyezi Mungu atupe uwezo wa kupata pesa ili tuweze kua na akili zetu tulizozaliwa nazo
 
Hongera sana mama hapa ndio umenifanya niamini ule msemo *USIMUAMINI MWANASIASA*
 
!
!
Hakutakuwa na haja ya kukuuliza maswala ya Gogo la udi ambalo likichomwa huwa linatoa harufu ndio, ila baada ya muda litaisha. Hii ina maana kwa sasa atakuwa na kazi yake itakuwa pamoja na mambo mengine kama yapo, moja ya kazi yake ni kusimamia uimarishwaji wa sisiem mkoani Kilimanjaro, ambayo huwa inaenda sambamba na kazi ya pili ya kuudhoofisha upinzani na hasa cdm.
Kwa kanuni ya kutokuongea wakati wa kula, basi na iwe hivyo...wote tuitikie Aaimen
 
Huyu Mama ni mstaarabu sana na anajua kuweka maslahi ya nchi mbele...Hata katika campaign alikuwa ana point sana na za kiustaarabu, hata wakati Rais anaapishwa alikuwa mstaarabu kwanza kuhudhuria sherehe bali pia kumkabidhi Rais ilani ya chama chake... Hongera sana sana RC mpya wa Kilimanjaro.... Kuna viongozi wengine wamekaaa kiushabiki tu ..... Pathetic!
 
Someone had said "Njaa ndio mtihani mkubwa alotuachia Maulana"

Siku moja isiyo na jina, Mama Yetu atapewa jukumu la kumchinja mwanaye (demokrasia). Hapo ndio napoona huruma. Sio kuihurumia demokrasia, la hasha...namuhurumia atakayepewa agilo kandamizi la kukwamisha demokrasia.

 
Back
Top Bottom