Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

Nimeusikia, ni mwendelezo wa idea ya bwana misosi 'nitoke vipi', anyway wimbo ni mzuri
 
Kijana kutoka WCB maarufu kama Raymond ameachia kichupa kimoja hivi kinaenda kwa jina la ''natafuta kiki'', ameeleweka vilivyo, hadi sauti ile''yooooooohh'' ya Kiba imesikika.... sio ya kukosa. Naona WCB wanazidi kuwa gumzo mjini hapa.
Kwa heri matombo,karibu Daaa
 
Hata ule wimbo wake wa kwanza "Kwetu" ni idea ya wimbo wa jamaa mmoja anaitwa Bwana mkubwa unaitwa " Sista duu kama utaka kuja home" ulitoka miaka ya 2000s
yes naupata, aliwashirikisha unique sisters
 
let me take my time kuuckiliza huu wimbo,naona vijana mnasifia tu.ila kwa maelezo ya wadau huyu jamaa katumia akili moja matata sana,yaani mbinu ya kuziteka timu zote za maceleb. wa hapa kwetu...yaani kutaja hayo majina hasa ya mahasimu wa boss wake tn in positive way,hiyo tyr ni kick kwa hizo timu nyengine coz hawatakuwa na kinyongo nae na pia wataisapoti ngoma yke km nnavoona humu alivokubalika na timu zote bila kujali tofauti zao za kitu flani...hata kuingiza iyo signature ya kiba "yooooh" ni ktk kutafuta mapenzi toka kwa timu kiba na kwa kiasi flani amefanikiwa,maana wengi wa timu kiba wameoneshwa kufurahishwa na kitendo icho!
 
Wimbo ni mzuri.

Dogo naona ana kipaji cha kutunga mashairi [kama kayaandika yeye].

Lakini, hii taja taja ya majina inaanza kuboa sasa.

Hivi wamekosa kabisa ubunifu mwingine zaidi ya kutaja majina yaleyale?

Title ya nyimbo imejieleza mkuu..anatafuta kiki
 
Diamond wakati anatoa my number one,Raymond Alikuwa Nzovwe huku anashinda video library, leo useme ndo anampa Melody Diamond,..... HIVI NI CHUKI TU AU KUNA KINGINE
Mkuu nahisi uwa unasomaga comment huku ukiwa na stress za sukari au umepiga kitwanga baridi...nimesema ''nasikia dogo anamuandikiaga''...kama uelewi neno 'nasikia' linamaanisha nini ilo ni tatizo jingine.
 
Huyu ndiyo msanii sasa, Wcb wote pale huyu ndiyo huwa anawatungia mistari melody na kila kitu, safi sana Raymond, Muda si muda hao wakina mondy wataanza kukuchukia sababu unakimbiza mbaya
 
Huyu ndiyo msanii sasa, Wcb wote pale huyu ndiyo huwa anawatungia mistari melody na kila kitu, safi sana Raymond, Muda si muda hao wakina mondy wataanza kukuchukia sababu unakimbiza mbaya


Usifanye utabiri bure, mwenzio shehe Yahaya alikuwa tajiri.
 
Back
Top Bottom