Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
WakomeView attachment 511081
EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”
Chanzo: Mwanaspoti
Shukrani ya punda mateke.Aache kutafuta kisingizio huku hawana hata ubunifu wa kazi zao zilizododa.
Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.
Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ya kuzunguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa
Hapa kazi tu
Hivi mbona mnawalazimisha kuwafanyia kampeni...wao so ndio waliwaita tena kwa malipo sasa boss kasema haajili unalalama nini sasa!!View attachment 511081
EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”
Chanzo: Mwanaspoti
Na jana wamewekwa sawa tena tayari kwa "uchafuzi" ujao.
Ninavyoelewa mimi ni kuwa wasanii hawa walikuwa hawafanyi kazi ya uhamasishaji bure.
Walikuwa wanalipwa vizuri sana [nasikia] kama suala la kushirikisha wasanii ndani ya chama hicho imefanyika kwani kuna wengine hivi sasa ni wajumbe wa NEC nadhani kuna mmoja mjumbe wa CC. Serikalini wameteuliwa kuwa viongozi na hivi juzi tu ameteuliwa msanii kama mjumbe wa BASATA. Hivi Ray alikuwa anataka nini?
Pengine anaililia nafsi yake kwa vile hakuteuliwa popote. Aache kulia lia wenzake kina sugu na prof jay wamo ndani ya mjengo hivyo kama anataka itabidi naye aingie kwenye ngoma hiyo.
Ea3dUkisikia umama basi huu ndio umama.
Hii ni nchi huru kama wanaona maslahi yao hayatili maanani wanaweza kwenda kwenye vyama vingine.Ea3d
"Akili kumkichwa" hawa wasanii wenyewe, me nawaona mazwazwa tu....kwani wakipiga madomo yao kufuri, kisha wakajiweka mbali na haya mambo ya kisiasa watakufa?!!!
Badala ya kukomaa kwenye kukuza na kueneza vipaji vyao....ili vije viwatumikie. Ndio kwanza kutwa, wanaimba wimbo wa CCM....acheni uzwazwa, kwani amuoni kama mnapoteza mashabiki?!!
#kweli chizi karogwa tena...
Kwni mlilazimishwa kuzunguka na ccm,si ni ujinga wenu wenyewe.kama hamkutendewa haki maana yake Hamna thamani yyte.With due respect, ata kama unalipwa au umetumwa lakini you must be fair, kinachosemwa ni kweli. ifike mahala tuwe fair kwa watu, mtu apewe anacho stahili, iwe ni sifa, recognition au heshima, hatuwezi kubeza mchango wa wasanii katika kufanikisha mafanikio ya CCM
Hahahahahah....The Devil has no friendAache kutafuta kisingizio huku hawana hata ubunifu wa kazi zao zilizododa.
Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.
Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ya kuzunguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa
Hapa kazi tu
Hahahahahah...mkuu nionee huruma mbavu zangu ,nimecheka mnoHahahahaaaaaa...alichukua form mwenyewe...ameshinda mwenyewe bila kupitia mgongo wa mtu...we ni nani umpangie. Kauzeni muvi tu na tumegoma kununua movie moja ni kilo mbili za unga unategemea nilale njaa nikiangalia movie mbovu?
Wasanii wengi nchi hii hawajitambui ndio maana wengi "wanajiweka-weka" sehemu ili waambulie hata makombo! Hawajui nini wanataka na ndio maana gHii ni nchi huru kama wanaona maslahi yao hayatili maanani wanaweza kwenda kwenye vyama vingine.
Maneno ya kejeli, matusi kwenye mijadala hasa ya humu jamvini ni ishara ya upungufu wa ku- 'think outside the box'