Ray Kigosi alalama wasanii kupuuzwa na CCM na walikuwa wote kwenye kampeni na kulala sehemu chafu

View attachment 511081

EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”

Chanzo: Mwanaspoti
Wakome
 
Nyinyi ni sawa na bigiji tu,hamna ishu ya maana zaidi ya kushabikia tumbo tu badala ya kushabikia future njema kwa taifa.
 
Aache kutafuta kisingizio huku hawana hata ubunifu wa kazi zao zilizododa.

Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.

Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ya kuzunguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa

Hapa kazi tu
Shukrani ya punda mateke.
 
View attachment 511081

EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”

Chanzo: Mwanaspoti
Hivi mbona mnawalazimisha kuwafanyia kampeni...wao so ndio waliwaita tena kwa malipo sasa boss kasema haajili unalalama nini sasa!!
 
Movie zenu tutakua tunaziangalia kwenye mabus tu tena bila kupenda........shida hamjiongezi mnatoa movie mbovu mbovu tu kila siku kazi yenu ni sanaa sio siasa mjikite kwenye kuendeleza kazi zenu sio kulia kwa wanasiasa, kila mtu abebe msalaba wake............(ushauri tu mkajiendeleze hata shuleni kidogo kwenye hizo fani zenu ili muwe mnatoa movie za kueleweka, sio kuendeleza kutuletea maigizo kama ya enzi hizo rtd ,muende na wakati kama wenzenu wa Nigeria kidogo, hamuoni wenzenu wa bongo flava wameamka wanakimbizana na soko la kimataifa ila nyie na hizo movie zenu daah zinachosha saaana basi igeni hata wale jamaa wa siri ya mtungi)
 
Hilo swala linaukweli asilimia 100 % kabla ya uchaguzi mwaka 2010 hawa jamaa walitaka sana soko ilipekea baadhi ya wasanii kutoa kazi mpya kila mwezi sokon wanatakiwa watafakal wp walikosea hakuna anayenunua kazi zao kwa sasa wamejalibu hata kushusha bei lkn bado watu hawaelew
 
Na jana wamewekwa sawa tena tayari kwa "uchafuzi" ujao.
Ninavyoelewa mimi ni kuwa wasanii hawa walikuwa hawafanyi kazi ya uhamasishaji bure.
Walikuwa wanalipwa vizuri sana [nasikia] kama suala la kushirikisha wasanii ndani ya chama hicho imefanyika kwani kuna wengine hivi sasa ni wajumbe wa NEC nadhani kuna mmoja mjumbe wa CC. Serikalini wameteuliwa kuwa viongozi na hivi juzi tu ameteuliwa msanii kama mjumbe wa BASATA. Hivi Ray alikuwa anataka nini?
Pengine anaililia nafsi yake kwa vile hakuteuliwa popote. Aache kulia lia wenzake kina sugu na prof jay wamo ndani ya mjengo hivyo kama anataka itabidi naye aingie kwenye ngoma hiyo.
Ukisikia umama basi huu ndio umama.
Ea3d
 
Hii ni nchi huru kama wanaona maslahi yao hayatili maanani wanaweza kwenda kwenye vyama vingine.
Maneno ya kejeli, matusi kwenye mijadala hasa ya humu jamvini ni ishara ya upungufu wa ku- 'think outside the box'
 
"Akili kumkichwa" hawa wasanii wenyewe, me nawaona mazwazwa tu....kwani wakipiga madomo yao kufuri, kisha wakajiweka mbali na haya mambo ya kisiasa watakufa?!!!

Badala ya kukomaa kwenye kukuza na kueneza vipaji vyao....ili vije viwatumikie. Ndio kwanza kutwa, wanaimba wimbo wa CCM....acheni uzwazwa, kwani amuoni kama mnapoteza mashabiki?!!

#kweli chizi karogwa tena...
 
MIbwege sana kazi yao kuuza sura tu na kula hela za rambi rambi.
 
Kw
With due respect, ata kama unalipwa au umetumwa lakini you must be fair, kinachosemwa ni kweli. ifike mahala tuwe fair kwa watu, mtu apewe anacho stahili, iwe ni sifa, recognition au heshima, hatuwezi kubeza mchango wa wasanii katika kufanikisha mafanikio ya CCM
Kwni mlilazimishwa kuzunguka na ccm,si ni ujinga wenu wenyewe.kama hamkutendewa haki maana yake Hamna thamani yyte.
 
Badala ya kupasua vichwa ni jinsi gani ya kuboresha kazi zao hadi zivuke mipaka ya nchi ziwe za kimataifa wanalilia kupata shavu Lumumba.
 
Aache kutafuta kisingizio huku hawana hata ubunifu wa kazi zao zilizododa.

Waende kusomea tena hayo wanayofanya, kwa sababu ni vituko hata mtoto wa darasa la pili anaweza kuandika script nzuri na kudirect zaidi yao na pia screenplay wakaiweka pamoja ikawa bomba zaidi mara elfu.

Hakuna pesa za hongo, walipewa posho ya kuzunguka. Hii ni awamu ya tano, waache uvivu na kusubiriwa kubebwa. Hata kulima wakalime, wavivu wakubwa

Hapa kazi tu
Hahahahahah....The Devil has no friend
 
Hahahahaaaaaa...alichukua form mwenyewe...ameshinda mwenyewe bila kupitia mgongo wa mtu...we ni nani umpangie. Kauzeni muvi tu na tumegoma kununua movie moja ni kilo mbili za unga unategemea nilale njaa nikiangalia movie mbovu?
Hahahahahah...mkuu nionee huruma mbavu zangu ,nimecheka mno
 
Hii ni nchi huru kama wanaona maslahi yao hayatili maanani wanaweza kwenda kwenye vyama vingine.
Maneno ya kejeli, matusi kwenye mijadala hasa ya humu jamvini ni ishara ya upungufu wa ku- 'think outside the box'
Wasanii wengi nchi hii hawajitambui ndio maana wengi "wanajiweka-weka" sehemu ili waambulie hata makombo! Hawajui nini wanataka na ndio maana g
Hawaishiwi vilio na vituko.
Hivi pale Leaders Club huwa wana biashara gani?
 
Back
Top Bottom