Rashid Shamte ni nani?

Baba YAke kwa Ndio alikuwa Meneja Mkuu wa Mkonge Tanzania baada ya kustaafu akawa mwenyekiti wa bodi ....ndiye aliyekabidhiwa na nchi kuendesha mashamba yote ya Mkonge nchi hii ....Kama Board ya Mkonge ....yalimfia mkononi kwa sababu Za kibiashara ....lakini pia kulikuwa na upotevu mkubwa Sana wa pesa Za Mauzo ya nje ya mkonge ......ikidaiwa kuna pesa zilikuwa zinaingia kwenye his personal account , ilikuwa in corridors of power wanasema Mkonge ni Shamte na Shamte ni Mkonge
Mzee Shamte , wakati wa utawala wa Mwinyi ambapo juhudi Za kufufua Mkonge zilianza naye alijitwalia shamba kubwa la zaidi ya heka 50'000 Za Mkonge ambapo hadi Sasa linafanya vema......kwenye Sakata la NSSF kukopesha ..."mikopo" Nafuu shamba Lao lilimegewa Bilioni 10 ......ambapo pia wanufaika wengine Baadhi ni Seif wa viwanda vya Mtibwa na Kagera ambao jumla walipewa Bilioni 50.

!!?!!! Ukisikia MTU ni CCM nikama huyo sababu imemtendea mema Ukimwambia kuna UKAWA ukiwa karibua nae anaweza kukufanya mbaya....sio mijitu mingine haijui ugali wa siku hiyo atapata wapi miguu imempasuka kwa Magaga nayeye anajiita CCM pumbavu......
 
SEIF Unamuongelea Super Star Forwarders ama Agent mkubwa wa Superdoll na Dunlope Tyres. Ndio biggest Truck fleet owners hapa tanzania kumbe mitaji wanakopa nssf. Mbona sisi wanachama hatukopeshwi. Nchi hii inahitaji mifumo mipya ya kutuinua wananchi maskini.

15111534, member: 504"]Baba YAke kwa Ndio alikuwa Meneja Mkuu wa Mkonge Tanzania baada ya kustaafu akawa mwenyekiti wa bodi ....ndiye aliyekabidhiwa na nchi kuendesha mashamba yote ya Mkonge nchi hii ....Kama Board ya Mkonge ....yalimfia mkononi kwa sababu Za kibiashara ....lakini pia kulikuwa na upotevu mkubwa Sana wa pesa Za Mauzo ya nje ya mkonge ......ikidaiwa kuna pesa zilikuwa zinaingia kwenye his personal account , ilikuwa in corridors of power wanasema Mkonge ni Shamte na Shamte ni Mkonge
Mzee Shamte , wakati wa utawala wa Mwinyi ambapo juhudi Za kufufua Mkonge zilianza naye alijitwalia shamba kubwa la zaidi ya heka 50'000 Za Mkonge ambapo hadi Sasa linafanya vema......kwenye Sakata la NSSF kukopesha ..."mikopo" Nafuu shamba Lao lilimegewa Bilioni 10 ......ambapo pia wanufaika wengine Baadhi ni Seif wa viwanda vya Mtibwa na Kagera ambao jumla walipewa Bilioni 50.[/QUOTE]
 
Du JANUARY MAKAMBA JIPU ??? Ndio maana inasemekana jamaa kampa uwaziri kwa shinikizo lakini sio kwa kupenda...wizaraa aliyompa anafanya juhudi kubwa kuipa umuhimu ...Ili iweze kumpa political mileage ...lakini huko mwanzo mawaziri waliopita pale hawakuweza kupata public image ....kwa kuwa zaidi ninkuratibu mambo ya muungano ambayo mengine ni classified ..

Zaidi kitu kinachoweza kumkutanisha na watu Sana na pia kupata mwanya kwa wafanyabiashara ni kuifanya NEMC Iwe na meno.....Kama Enzi zile Frederick Mpendazoe alivyokuwa Mkurugenzi ...lakini ambapo pia ilituhumiwa kutekwa na R.Mengi kupitia rafik YAke Omar Ali Juma kuwanyanyasa maadui Zake kibiashara.

Kama ulisikiliza ile hotuba ya Magufuli kwa wafanyabiashara
na kama ulifuatilia kampeni..utakuwa unakumbuka Magufuli kamtaja sana Shamte..

hasa aliposema hakuna kiwanda cha samaki pwani yote kutoka Tanga hadi Mtwara kwa kina Shamte...

nimeelewa kuwa Magufuli binafsi anamjua Shamte vya kutosha.....
 
Mkuu,
Mh. Rais Magufuli kwenye hotuba yake siku ile alikuwa anamzungumzia Mr Salum Shamte, ambaye ni Vice Chairman wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF). Tusipotoshe umma kwenye mambo ya kimsingi. Kwa taarifa yako Kama hii kuna Vijana wakikaa huko vijiweni wataiwekea ndimu,chumvi,soy sauce etc ikaketa mihemuko na hasira kwa Wananchi....haswa wenye chuki na serikali hii. Good Sunday mkuu.
 
thanks kwa correction ....
 
Mzee Shamte , wakati wa utawala wa Mwinyi ambapo juhudi Za kufufua Mkonge zilianza naye alijitwalia shamba kubwa la zaidi ya heka 50'000 Za Mkonge ambapo hadi Sasa linafanya vema......kwenye Sakata la NSSF kukopesha ..."mikopo" Nafuu shamba Lao lilimegewa Bilioni 10 ......ambapo pia wanufaika wengine Baadhi ni Seif wa viwanda vya Mtibwa na Kagera ambao jumla walipewa Bilioni 50.

Ukisema MTIBWA alafu usimtaje MKAPA, sisi wenyeji wa TURIANI HATUKUELEWI.
plz weka vizuri hili.
 
Mkuu,
Mh. Rais Magufuli kwenye hotuba yake siku ile alikuwa anamzungumzia Mr Salum Shamte, ambaye ni Vice Chairman wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF). Tusipotoshe umma kwenye mambo ya kimsingi. Kwa taarifa yako Kama hii kuna Vijana wakikaa huko vijiweni wataiwekea ndimu,chumvi,soy sauce etc ikaketa mihemuko na hasira kwa Wananchi....haswa wenye chuki na serikali hii. Good Sunday mkuu.

Kuna mdau hapa mesema Salum Shamte ni baba wa Rashid Shamte.!
 
..huyu kasababisha hasara ya bilioni 8 mnasema ni kadagaa.

..sasa hao mapapa wamekwepa ngapi?

..ukumbuke Mramba yeye kosa lake lilihusiana na kodi ya bilioni 11.

..vigogo wa Tra na Bandari wahusika ktk upotevu wa maelfu ya makonteina wamesababisha hasara ya bilioni 14.

cc Waberoya

imekuwa vizuri wamemshughulikia, ila moto huo uende mpaka haya giants companies

Hivi JK hawa TCRA hawajui kabisa kuwa Tigo, vod na airtel wanaiba waziwazi?
 
imekuwa vizuri wamemshughulikia, ila moto huo uende mpaka haya giants companies

Hivi JK hawa TCRA hawajui kabisa kuwa Tigo, vod na airtel wanaiba waziwazi?
Tigo kwenye salio la wiki ni wezi balaa hii Mitandao kwa ujumla inawatia Umasikini wananchi ni vyema imulikwe vizuri.
 
Kama ulisikiliza ile hotuba ya Magufuli kwa wafanyabiashara
na kama ulifuatilia kampeni..utakuwa unakumbuka Magufuli kamtaja sana Shamte..

hasa aliposema hakuna kiwanda cha samaki pwani yote kutoka Tanga hadi Mtwara kwa kina Shamte...

nimeelewa kuwa Magufuli binafsi anamjua Shamte vya kutosha.....
Sasa anajua pia shamte mtoto kakosea na ndiyo katoa amri aadhibiwe ili iwe fundisho
 
Duh sasa kama huyu Shamteh alisaupport Chama Chetu Kikuu kipindi cha capaign kwa zile hate msg zao leo inakula kwake hivi hivi?

Hakika nawaambieni mara hii hakuna atakayepona .....

Vuteni Popcorn Movie ndio kwanza Trailler
 
Back
Top Bottom