Rasharasha za Pasaka: Askofu Mameo ataka Tume Huru ya Kweli

Ukiona hadi Viongozi wa Dini wameanza kuhubiri haki, ujue huo msamiati umekuwa adimu Kwa Watawala

Hizo faulo wanazozifanya Kwa wapinzani wao zitakuwa zimefika hadi madhabahuni
Ni Mjinga pekee na mhubiri fake anayeweza kusema Tanzania hii ina viongozi watenda haki.

Tunaendelea kusali sana Unabii Utimie Mwaka huu.

Amen
 
Ni Mjinga pekee na mhubiri fake anayeweza kusema Tanzania hii ina viongozi watenda haki.

Tunaendelea kusali sana Unabii Utimie Mwaka huu.

Amen
Bahati mbaya tumekubali kugawanywa Kwa Imani zetu

Wenzetu wamesimama naye kwakuwa anatokana na Imani yao

Na hawa wengine wanavyoendelea kumsahihisha, wale wengine watasema ni kwasababu sio wa kwao

Kwa kweli haki imekuwa Uhaini kwasasa
 
Kwahiyo mzee Wasira, Amos Makala, Emanuel Nchimbi , meigulu nchemba ,na dk tulia akson pia ni Imani Moja na madam president?!
 
Back
Top Bottom