Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,999
Ok..Ntakuwa nimechanganya na alizo vaa ndanialivaa hiyo nguo angalia page ya insta ya alikiba
Ok..Ntakuwa nimechanganya na alizo vaa ndanialivaa hiyo nguo angalia page ya insta ya alikiba
Huyo ni Dangote kwani?..Utakuwa umemfananishaView attachment 319548 View attachment 319548
enzi hizi wemer asingempenda dai haahahahaha na hawwa madem sijui hata dai akiwaona anawapa hi kweli maake sahizi kawa matawi ya juu au huyu ni wema?
Teh teh..Sepetunga ana kismati..Jina lake likitajwa linajaza nyomi..Ngoja uone huu uzi utakapofikiaWanajua habari zao haziuzi mpaka wamwandike.
Ok..Ntakuwa nimechanganya na alizo vaa ndani
Teh teh..Sepetunga ana kismati..Jina lake likitajwa linajaza nyomi..Ngoja uone huu uzi utakapofikia
HAHAHAHA TUMIA BAINOCLASSS UTAONA SASAWA NI NANI HUYO UMECHEKI MAPIGO YAKE HIHIHIHIH HIYO INAITWA FROM DUST TO GRACEHuyo ni Dangote kwani?..Utakuwa umemfananisha
Ndo alizo vaaWema jana mbona hakuvaa nguo hizo..Au umemfananisha mkuu?