Range Rover ya Wema yakamatwa tena

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,414
jana nikiwa katika pitapita zangu maeneo ya afrikana mbezi beach nikakuta wema amesimamishwa na maofisa wa TRA na polisi wenye mitutu wakaikagua iyo gari na kisha wakaondoka nayo wakiwemo hao maaskari....gari iyo ilikua na namba zinazosomeka: AEK 101 MP
 

Attachments

  • IMG_20160126_154739[1].jpg
    207.8 KB · Views: 103
Teh Teh mwaka huu analo kama alizoea kuto fata sheria basi aanze kufata...
 
Wema jana mbona hakuvaa nguo hizo..Au umemfananisha mkuu?
 
watakuwa wamemsimamisha kuomba lifti au kusalimia tu, likamatwe leo siku zote lilikuwa linaendeshewa uani?
 
hahahahaha ulivyojikunja hapa kama unasoma kagazeti kumbe unabinyiza simu kupost uongo jf


wema yupo italy veve acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…