Infinity ni executive version ya Nissan patrol,kama vile volxwagen na audi,Toyota na lexusHii gari mkuu ulisha wahi kuiyona hapa bongo?
Zipo nyingi....Nissan Safari hiyoHii gari mkuu ulisha wahi kuiyona hapa bongo?
Hongera kwa kununua gari kwenye ndoto...Nina wiki tangu niinunue
Tahoe&escalede zikiwa na rim ya 26" inapendeza kinoma
Cadillac escalade.....2016
Chevrolet Tahoe.....2017
Mercedes benz G - class
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/4659d1a07a315d
e2b76b9b09b09e9bbe.jpg
Siku zote unashauriwa kutumia gari ambalo usukani upo kushoto
inafaa kwa mtu anaetumia mkono wa kushoto, kama mimi...
Brabas je?Mercedes-Benz -ndio yenewe