Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,476
- 16,133
we mwehu hii historia ulisomea wapi, acha kupelekeshwa na mizuka plus mahaba na mihemko.. ekeza ukweli sio ushuzi huuWamiliki halali ni nani? Wapalestina walikuwa wamiliki wa eneo la Israel halali kuanzia lini?
Acheni kupotosha ukweli.
Hakuna nchi inaitwa palestina. Eneo lile lote ni la Israel na kama wapalestina wantaka kuishi Isreal wakubali ukweli kwamba wao ni wakuja, wapewe uraia wawe raia wa Isreal.