kepler telescope
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 904
- 599
hivi humwelewi jpm anaposema hapa kazi tu? maneno machache kazi kubwa. yote uliyomweleza subiri matokeo, utapata mrejesho kivitendo hata kabla ya hotuba unayoitaka.
Tunataka mlio, sio ngombeKuna hadithi ambayo sina uhakika na ukweli wake lakini inafunzo muhimu kuhusiana na maada.
Wachina walimpa Nyerere taarifa ya mradi wa kujenga TAZARA wakati huo. Ilikuwa na kurasa tano tu. Inasemekana Mwl. alistuka kupata taarifa fupi kiasi hicho. Ndipo wachina wakamuuliza, unataka report au reli?
Nasi tujiulize kama tunataka matunda au hotuba kwa Magufuli.
bei za bidhaaa zinaaamsha waliolala Ccm si mnamaduka yenu.Kwani shda yko nn?
Kuna hadithi ambayo sina uhakika na ukweli wake lakini inafunzo muhimu kuhusiana na maada.
Wachina walimpa Nyerere taarifa ya mradi wa kujenga TAZARA wakati huo. Ilikuwa na kurasa tano tu. Inasemekana Mwl. alistuka kupata taarifa fupi kiasi hicho. Ndipo wachina wakamuuliza, unataka report au reli?
Nasi tujiulize kama tunataka matunda au hotuba kwa Magufuli.
Kuna hadithi ambayo sina uhakika na ukweli wake lakini inafunzo muhimu kuhusiana na maada.
Wachina walimpa Nyerere taarifa ya mradi wa kujenga TAZARA wakati huo. Ilikuwa na kurasa tano tu. Inasemekana Mwl. alistuka kupata taarifa fupi kiasi hicho. Ndipo wachina wakamuuliza, unataka report au reli?
Nasi tujiulize kama tunataka matunda au hotuba kwa Magufuli.
Ahsante kwa kuwakumbusha. JPM bado ni binadamu anahitaji kukumbushwa. Kumsifia kwa kila kitu ni ushabiki na unafiki utakao kuja kutupotosha Kama taifa. Unakumbuka hadithi ya mfalme Juh........?L
Ni kweli uyasemayo,lakini kwa nini hayo umeyaona Leo na si jana?Si ni ninyi mliokuwa mnasifia hotuba ndefu za Magufuli?
Angalau pole pole tunaanza kukubaliana kuwa urefu wa hotuba si utendaji bora.Kuna vibudu wenzia wa LB7 walikuwa wanasifia kila jambo kiasi cha kudiliki kusifia hata push ups kana kwamba Ikulu kuna uwanja wa masumbwi.