Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,328
Hongera Shein.
Namwona Ali karume ndani NA MAHAMOUD THABITI KOMBO,Na HAMAD rashid
2020 naombea Ali karume awe Raisi,Mahamoud thabit kombo awe Waziri kiongozi,na Hamad RASHID awe makamu wa kwanza wa Raisi.Zanzibar patachimbika.Mafisadi na wanasiasa uchwara itabidi watafute pa kukimbilia.Ali Karume ni picha halisi ya mzee Karume mwenyewe hataki ujinga na aweza ishikisha adabu Zanzibar shein akimaliza muda wake..
Tuombe asikumbuke lile koti lilioanza kumbana AAK (baba)-anaweza kulivua ikawa kasheshe.