Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
As human being, tunatakiwa tuwe watulivu sana wakati tunafikiria mambo. Busara na akili ya mtu inapimwa na uwezo wake wa kugfikiri, mawazo yake anayoyatoa katika jamii pamoja na maamuzi. Please try to think deep kabla ya kusema jambo kwa jamii.