Rais wa Rwanda, Paul Kagame kufungua maonesho ya Sabasaba. Kufanya mazungumzo na Rais Magufuli

Rwanda nzima ni kama mikoa miwili kama sio mitatu ya Tz, na bado masikini wapo wa kutosha.
 
Rwanda na Tanzania Ziungane iwe nchi moja.
Rwanda sasa hivi imetulia wana amani kama walivyo wa Tanzania.Hawajazalisha wakimbizi kwa kipindi kirefu.Napendekeza bunge la Rwanda lianze mchakato wa kuunganisha Tanzania na Rwanda tuwe na nchi moja (superpower afrika mashariki na kati)

Hebu fikiria Raisi wa hiyo nchi awe magufuli makamu awe kagame au raisi awe kagame makamu wake Magufuli nani atatukuta kimaendeleo? Tutapaa mbio kimaendeleo
Humu ndani kuna pumba
 
Huu mwelekeo wa Tanganyika yangu a.k.a Tanzania Bara siuelewi kwenye majukwaa ya mahusiano ya kamataifa unatufunza nini au tutaraji nini?
 
Safi sana. Na mtakoma safari hii. Marafiki zetu ni Paul Kagame na Yuweri Kaguta Museveni
Tatizo lako wew ni kichwa maji na inaonekana hujasoma historia ya waliotawala dunia kwa mkono wa chuma ipo siku utaliewa somo. Kwanza nikuulize ushawahi kwenda rwanda ukakaa japo wiki mbili
 
Rwanda na Tanzania Ziungane iwe nchi moja.
Rwanda sasa hivi imetulia wana amani kama walivyo wa Tanzania.Hawajazalisha wakimbizi kwa kipindi kirefu.Napendekeza bunge la Rwanda lianze mchakato wa kuunganisha Tanzania na Rwanda tuwe na nchi moja (superpower afrika mashariki na kati)

Hebu fikiria Raisi wa hiyo nchi awe magufuli makamu awe kagame au raisi awe kagame makamu wake Magufuli nani atatukuta kimaendeleo? Tutapaa mbio kimaendeleo
Uh Zanzibar tu inatutoa udelela tuongeze tena mambo ya 1994? Haya jaribu ila haina haja maana ni marafiki zetu ni ndugu zetu tunaishi vema si lazima tuungane ila tufungue mipaka tu ya kuhusiana vema na biashara nzuri...tutaishi bila matatizo
 
Tatizo lako wew ni kichwa maji na inaonekana hujasoma historia ya waliotawala dunia kwa mkono wa chuma ipo siku utaliewa somo. Kwanza nikuulize ushawahi kwenda rwanda ukakaa japo wiki mbili
Mimi nimeshawahi kwenda rwanda enhe..
 
Back
Top Bottom