Rais wa marekani na rais wa Urusi wafanya makubaliabo ya kupambana na N Korea

Na ni watu wenye akili timamu pekee ndio waliokubali kushindwa ili kulinda maslahi ya Marekani yao. Ndio maana nawakubali mzungu linapokuja suala la maslahi na sio Afrika viongozi kuchukua maamuzi yao binafsi kuingia vitani.
 
huijui u.s ww kijana
 
Sijui umeandika nini
 
Kwahyo Putin alivyompigiaga Obama simu mwaka juz nahisi kujadili swala la Syria baada ya US kutaka kuivamia alikua akijependekeza kwa Obama c ndyo?!

Huyo Kim Ana silaha gn kali ya kumtisha Marekani wakati Marekani ndo mwanzilishi wa hyo silaha miaka karibia 80 iliyopita ndo wengne wakafata.

Unadhan Kim ni mjinga mpk atumie Nuclear?!
Makombora mawili tu ya Marekani katka ile nchi yanaweza maliza vita asubuh... Kombora la minuteman kwa mfano linabeba vichwa vitatu huku kila kichwa kikiwa na 500kT hvyo wakt Kim kardashian anapiga Seoul Marekani anafuta miji mitatu ya NK. Akipiga Japan miji sita ishaondoka...Hapo sijataja Trident lenye vichwa 8-12....
 
Mkuu humu team Kim wanatetea ujinga. Halafu Kim anajitutumua eti Yupo tayari kwa vita hajui kama ataumia.
 
Watu mnajifanya mnajua
kweli. Eti US alitoka mbio sasa kwa kukujuza tu kama si rais Truman wa us kumfukuza general McArthur badala ya kushusha mabomu mfululizo na kupania kuishambulia china kusingekuwepo hiyo north Korea.
Wewe ndo unaejua sana eeeeh?, acha kujifanya mjinga wewe
 
Hivi wewe unayajua sana hayo makombola ya US na NK kuliko Kim?
Kwa interejesia ipi uliyonaya?
 
Huu ni ushuhuda kwamba NK inaogopwa na US kuliko kitu kingine chochote kile.
TRUMP ameanzisha muziki ambao umemzidi umri. Sote tunajua kwamba, tangu ianze hii vuta nikuvute baina ya US na NK, US wamekuwa wakizunguka kwenda nchi mbalimbali duniani kuomba msaada.
Kwa tathmini ya haraka haraka ni kwamba US ameufyata tayari sasa anaona AIBU kurudisha vifaa vyake vya kijeshi. Kwa hiyo anatafuta kisingizio cha kurudisha majeshi yake kwamba eti URUSI na CHINA wameshauri mzozo utatuliwe kwa njia ya mazungumzo.
Kwa kawaida huwezi kuomba msaada kwa rafiki wa adui yako ili kumpiga adui yako huyo.
 
Huwa napata shida kidogo kuelewa hapa ,nani tishio kwa usalama wa dunia ,north Korea au USA ..!!??
Mpaka sasa sijui ni nchi gani iloyovamiwa na Korea kaskazini ila nazijua zilizovamiwa na USA ,
Mpaka sasa tunavyopiga soga hapa ,nchi pekee iliyoangamiza watu kwa silaha za nyuklia ni USA ,Korea kaskazini hajawahi fanya hivyo .
Marekani ,urusi ,China ,Israel ,India ,Pakistan,wote wana silaha za nyuklia lakini mnakomaa Korea kaskazini asiwe nazo , nani mwenye mamlaka ya kusema huyu awe na hichi na yule asiwe nacho , na hata kama yupo hayo mamlaka kayatolea wapi..!??
Mwisho ,sijawahi sikia Korea kaskazini akisema anataka kuivamia USA ila kinyume chake.
Nani ni tishio kwa usalama wa dunia Kati ya hao wawili ...!!??
 
Trump kaomba kama upo uwezekano wa Kim kukutana nae leo unasema USA anataka kulimaliza kijeshi?

Trump ana busara sana, hii mikwara aliyo kuwa anajifanya kumchimbia KIM yalikuwa ni maigizo tu ya kuwachota akili baadhi ya maseneta, ma neocon, makampuni ya wahundaji silaha na baadhi ya majerali - group tajwa hapo juu wanajulikana sana kupenda vita na vurugu - hao ndiyo walikuwa wanamkalia kooni Trump afanye ujinga wa kuishambulia Korea Kasikazini, lakini Trump mwenyewe na his inner circle sina shaka walikaa faragha hii vita ndani ya Korean Peninsula ni maji marefu hakuna anaye weza kutabiri matokea yake yatakuwaje - ndiyo maana anataka mgogoro huu imalizwe kidiplomasia kuliko kutumia mabavu ambayo yanaweza kuwatokea puani.

BRAVO TRUMP kwa kuona kwako mbali, kusita kwako kukanyaga in uncharted waters kutakujengea heshima unlike binadamu wengine wanao shabikia vita vya ku-resort kwenye thermonuclear exchange as if wao na vizazi vyao vingepona kwenye vita ambavyo mwisho wake si rahisi kutabirika.
 
Google Alafu urudi Tena kuandika upya Naona umekurupuka na ndoto Gan Sijui Alaf unakuja kutuandikia ujinga apa
 
 
Hako kajamaa kanahifanya kanajua sana yani Eti kanachambua US, Russia na NK Unafikiri kapo huko kameajiliwa kumbe kapo mbagala na kana vyeti feki kanakuja kutuaminisha uwongo eti US kakimbia tu conspirances Hutu sijuw wanatutoa wapi...
 
Tishio kivipi? Katishia kuilipua tanzania?? Au nchi yoyote ya Afrika ?? Mbona mnakuza mambo...eti hatari kwa usalama wa dunia.......hata kwa sadam walisema hv hv na hawakukuta hata sumu ya panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…