Na ni watu wenye akili timamu pekee ndio waliokubali kushindwa ili kulinda maslahi ya Marekani yao. Ndio maana nawakubali mzungu linapokuja suala la maslahi na sio Afrika viongozi kuchukua maamuzi yao binafsi kuingia vitani.Trump kuongea na Putin ni kujipendekeza kwa kuwa Russian ana nasaba na NK hivyo Trump anajua kuivamia korea kuna changamoto mbili moja uwezo binafsi wa korea pili reaction ya urusi dhidi ya US kwa wanaokumbuka vita ya NK vs Sk mmarekani alikuwa SK na Urusi alikuwa Nk matokeo US akala mbio hivyo Trump anajua kuivamia NK kwa namna yoyote urusi ataingia lakini kibaya ni uwezo wa kinuclear wa NK na kibaya zaidi NK alidai hakuna silaha itakayoacha kutumiwa na wakati huohuo US imewekeza sana SK na Japan hivyo kuna uwezekano wa uharibifu mkubwa wa mali za marekan. US ni mbabe kweli lakini si kwa north korea ya sasa hivyo US atarudisha makorokoro yake baada ya zoezi la kutosha la kijeshi huko SK hii mechi ni ngumu sana alietaka kuianzisha ameamua kuiahirisha kinamna