Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,074
- 1,147
Kweli kabisa na alikuwa mshirika wake mkuu lakini akamzunguka duh!dunia hii!!kama sikosei si alifanya hila kumwondoa yule mama?
Kweli kabisa na alikuwa mshirika wake mkuu lakini akamzunguka duh!dunia hii!!kama sikosei si alifanya hila kumwondoa yule mama?
Hahahahahahaha hatari sanaaaaNaye atakuwa impeached na hao ghosts soon kuanzia sasa
Fikiria unataka kutia sain sheria fulani mara karatasi linapotea
Unahutubia mara unakabwa kikohozi na kushindwa kupumua vyema
Lazima uachie madaraka bila shuruti
Hata Kikwete aisee.... Nasikia na Magufuli naye vivyo hivyo!!!Hata Mkapa alikimbia ikulu akawa analala kwake Sea View pale kwa sababu hizo hizo.
Ila sisi hatusemi tu.
Huyo siku nyingi sana!!Imtokee na mkubwa Mwafwaaa a. k. a. bro Bashite
Hahaaaa. We jamaa una utani sana na Mtukufu.Bado pale m a g o g o n i
natania tuHahaaaa. We jamaa una utani sana na Mtukufu.
Waswahili walisema "Majumba makubwa husitiri mambo".Hata Kikwete aisee.... Nasikia na Magufuli naye vivyo hivyo!!!
Ndo maana JK alikua kutwa kiguu na njia!!
Tunahamia chamwino, we hujui kusoma, hata picha huoni?Bado pale m a g o g o n i
Naye atakuwa impeached na hao ghosts soon kuanzia sasa
Fikiria unataka kutia sain sheria fulani mara karatasi linapotea
Unahutubia mara unakabwa kikohozi na kushindwa kupumua vyema
Lazima uachie madaraka bila shuruti
Tunahamia chamwino, we hujui kusoma, hata picha huoni?