ukiwemo wewe pia ni mende,tena aliyekubuhuKwa hiyo Magufuli ndo muasisi wa kubana matumizi?
Ama kweli Watanzania wengi mna akili za mende.
Kwanini usicheki dampo kama ninachokwambia ni uongo?Ndi tatizo la ninyi wapinzani ni uzushi Period!
Kubana Matumiz hakukuanza na Magufuli ni toka enzi za JK matumiz yalibanwa sana. Nyinyi wote ni mashahid pesa ya RADA ilivyotumika. Pia tulikuwa na jeshi dogo la kisasa. Balozi chache nje ya nchi. n.k.
Zuma yupo analihutubia Bunge, amechukua hatua za kukata matumizi ya serikali sawasawa kabisa na alivyofanya Magufuli , mfano safari za nje lazima zizipate kibali, sherehe za kibunge, kusafiri nje na delegation kubwa marufuku na mengine mengi.
Ama kweli Magufuli ni mfano duniani!
Source : Zuma’s resolution to make drastic changes - Capetimes | IOL | Breaking News | South Africa News | World News | Sport | Business | Entertainment | IOL.co.za