Kuelekea 2025 Rais Samia: Wananchi muache kuwachagua wanaowapa khanga na hongo hao sio wawajibikaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ndo.anatakiwa kuwa wa kwanza kwenye mchujo

Na kwa nini amekataa anataka kadi ya ugombea iwe moja?

Haoni kwamba anajiabisha anapozungumzia wengine kuchujwa
Mwaka 2020 mlichapisha Kasi ngapi za mgombea?

Fomu nyingi za nini wakati sijasikia mtu yeyote akitoka hadharani kusema anataka kushindana na Samia kama Membe alivyojitokeza? Mpaka hapo Kuna haja ya fomu nyingi?

Harafu yeye hajawahi kusema ila wanaomkubali ndio wanasema fomu Moja bwege wewe
 
Walivyo wanafiki na walamba viatu sasa utawakuta wanajimwaga walikochaguliwa na kujifanya kupiga kelele na kujionyesha
Hao ndio wakufyeka sasa
 
Kuna yule Mbunge anaanza na Professor alafu ni Waziri sasa sijui atamtosa kweli au itakuaje
 
Mwaka 2020 mlichapisha Kasi ngapi za mgombea?

Fomu nyingi za nini wakati sijasikia mtu yeyote akitoka hadharani kusema anataka kushindana na Samia kama Membe alivyojitokeza? Mpaka hapo Kuna haja ya fomu nyingi?

Harafu yeye hajawahi kusema ila wanaomkubali ndio wanasema fomu Moja bwege wewe
Si aruhusu aone iwapo atabaki...!
 
Back
Top Bottom