Safi sana mkuuNilikomaa nao wakaniitia raia mkakamavu wa Suma jkt walipoona nawajazia nzi wakaniruhusu nipite tu
Mkuu mimi sikuwalipa ila wananchi waliowengi wameshaanzishiwa tozo hii mpya na wanalipa na wengi kwa sababu ya haraka kuwahi usafiri wanaamua kukubali yaisheKama wewe ni mwanaume na huwezi kuingia stand yoyote ya mabasi hadi ulipie 200 wakati huo una ticket ya 50,000 Dar Mwanza..naomba ujitafakari sana mkuu..tafadhari
Kama wewe ni mwanaume na huwezi kuingia stand yoyote ya mabasi hadi ulipie 200 wakati huo una ticket ya 50,000 Dar Mwanza..naomba ujitafakari sana mkuu..tafadhari
Ishu sio 200/-. Hili ni suala la principles.200 tu unaiandikia uzi
Ni kwa vile wameshatuona watz tu wajinga. Wanatuibia kila kona hatulalamiki.Ni wizi aisee. Ukifika getini na tiketi ya safari wanakuuliza ulikatia wapi hiyo tiketi, ukisema kwenye booking offices nje ya stendi wanakutaka ulipe Tshs. 300, ili usilipe basi sema umekata ghorofa ya pili zilipo office za mabasi ndani ya magufuli terminal.
Haya sasa, maana ya kiingilio ni kuwa kuna huduma ndani utazipata bila kulipia tena, huduma kama choo, kunawa mikono nk lakini sasa hapo Magufuli bado ukienda chooni unatakiwa kulipa tena kwa huduma ya choo, sasa kiingilio ni cha nini ikiwa huduma bado unazilipia?? Wizi
Hongera sana MUSHEKY kwa uzi huu na kwa kukomaa kutetea haki na msimamo wako kutoporwa hela kizembe. Taifa linajitaji watu kama wewe wa kuhoji uhalali wa mambo na siyo wale wa ndio mzee au bora liende tu.
Tatizo sio kiasi cha malipo, bali ni uhalali wa malipo hayo.200 tu unaiandikia uzi
Kaleni mnakokulaga