Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,325
30,445
👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa.

👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili.

👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo sema: 👇

👉 " Human beings do not appreciate anything that is too much available to them "

👉NDIO maana maana watu wenye hekima na busara husema " Never be too much available to anyone".

👉Mlishawahi kujiuliza kwanini Mungu ameamua kutokuonekana hadharani?

👉Kama bado hamjawahi kujiuliza Mimi nimewahi kujiuliza kwa niaba yenu.

👉Moja kati ya majibu ambayo nimejipa Mimi mwenyewe ni kwamba:👇

👉" Mungu haonekani kwa sababu anatujua akili na mawazo yetu vizuri. Na hii ni kwa sababu yeye ndo katuumba"

👉Kwenye DNA zetu ameweka taarifa kwamba sisi ni viumbe ambao hukishusha thamani kitu ambacho tumekizoea.

👉Hata Mimi Likud kuna watu watakuja kuniponda hapa kwa sababu wamenizoea na wanasoma kila siku napost thread hapa Jf. Ila nisipo post hapa kwa mwezi mmoja, utasikia kina ephen_
min -me
raraa reree Wanakuja na nyuzi hapa " HIVI SIKU HIZI LIKUD YUPO WAPI?"

👉NDIO nature ya binadamu tulivyo.

👉Si ajabu hata huko mbinguni tunaweza tusimuone Mungu vile vile.

👉Tutaishiaga kuonana na kina Jibril @ Company.

👉Mungu angeonekana watu tusingemthamini.

👉Tazama mfano mdogo tu kuhusu Jua. Jua ndio chanzo cha kila kitu muhimu kwenye maisha yote katika sayari. But nobody give a damn about the sun. Why? Because it is too much available for us. Ila jua likizimika ndani ya masaa 24 every thing will die. Hadi kunguni na panya wa nyumbani kwenu wewe unaesoma Uzi huu watakuwa wamekufa wote.

👉Nakumbuka mwaka 94 nipo darasa la 3 narudi nyumbani saa tisa nakuta pilika pilika Mtaani kwetu watu wanaenda kupanda daladala waende Kigamboni eti kuna samaki mtu ( nguva) kavuliwa. Hali ilikuwa hivyo hivyo kwa mitaa mingi jijini Darussalama na ilikuwa watu wengi kweli kweli utafikiri Yanga na Simba wanacheza vile.

Pamoja na kwamba walioenda huko Kigamboni waliishia kutoka kapa lakini all in all sababu iliyo wafanya watu kuacha shughuli zao na kwenda kumtazama nguva ni kwa sababu " Nguva was a rare thing" ( Yes najua nguva anaitwa Mermaid) . " She" was not too much available for them.

👉Niliwahi kutumia kanuni hii ku contain threat iliyo kuja na " foolish age phase" ya binti yangu ( born in 2007)

👉Mwanzoni nilikuwaga mjinga kama walivyo wanaume wengi wa kitanzania wenye watoto wa kike.

👉Kuna kaujinga fulani hivi tunakuwaga nako wanaume wa kitanzania tukipata watoto wa kike.

👉" Ntamsomesha my daughter hadi chuo kikuu. Ntahakikisha hajui kabisa mambo ya wanaume mpaka At least afike chuo kikuu huko ndo ataanza kuwa na boyfriend/mchumba etc".

👉However, ukweli mchungu ni kwamba : 👇👇👇👇

👉"No matter how much better and strictly you raise your daughter, but when she hit puberty, she will eventually branch out.

👉Mwanzoni, alipo fikia puberty age niliongeza strictness na umakini mara mbili. Akitoka lazima aulizwe anaenda wapi. Rafiki zake wakija kutembea nyumbani lazima wafanyiwe INTERROGATION. Akisema anaenda kutembea kwa rafiki zake then akifika nyumbani kwa rafiki zake lazima simu ipigwe, lazima niongee na wazazi wa rafiki zake. Akianza kurudi lazima ipigwe simu, blah blah blah.

👉Kumbe I was dealing with the written laws. While the real deal is in the unwritten ones.

👉Baba hata uwe mkali kama Simba na mwerevu kama nyoka, huna uwezo wa kumzuia binti yako alie balehe asifanye sex.

Unaweza kufanya vitu viwili tu: 👇👇👇👇👇
1: kumchelewesha kuanza sex ( Badala ya kuanza na miaka 12 basi at least aanze na miaka 14 au 15 ambao ndio umri wa watoto wa kike kuanza sex )

2. Kumuwekea mazingira magumu ( Isiwe sasa akitaka muda wowote anakwenda. Nope! Aende lakini atumie akili kweli kweli kupata muda wa kwenda kufanya hivyo.

👉So binti yangu akaanza kuwa na boyfriend. Niligundua akiwa na miaka 16 probably alianza akiwa na miaka 14 who knows.

How did I know? 👇👇👇

Aligombana na house girl, house girl akaja kuchoma kwangu kwa ushahidi wa meseji.

Akaitwa kuhojiwa, Kofi la kwanza, Kofi la pili akakubali kwamba ana boyfriend.

Nikatoa adhabu Kali sana na nikaongeza strictness. Lakini wapi haikufua dafu.

One week later alibambwa akiwa anapiga simu kwa rafiki yake ( msichana) walio soma wote shule moja ( nilimuhamisha shule kumtenganisha na boyfriend wake. Dogo pia nilimzingua kwenye simu aachane na binti yangu )

👉Sasa my daughter akawa anamwambia rafiki yake akifika shule amuombee msamaha kwa yote yaliyo tokea ( Mimi kumzingua) plus ampe namba zake mpya...

👉Kufikia hatua hiyo nikakubaliana na ukweli kwamba huyu binti yangu sasa ameshakuwa kuwa mtu mzima.

👉Kama anavyo sema Mungu kwenye kitabu cha Mwanzo baada ya Adam kula tunda la mti ule.

👉" Tazama mtu huyu amekula tunda hili na amekuwa kama mmoja wetu. Sasa tumtoe kwenye bustani hii ili asije akaunyoosha mkono wake akala tunda la uzima wa Milele akaishi milele"

👉Ndivyo nami nilivyo jisemea. Kwamba

👉" Tazama binti yangu huyu amekuwa kama mmoja wetu ( amekuwa mtu mzima kama sisi) . Amekwisha onja tunda la mti ule ulio katazwa( Tendo la ndoa)

👉Sasa nimtoe nje ya bustani ( Nimtoe ndani ya moyo wangu/ Eden = moyo wangu)

Ili nisiendelee kuhuzunika Milele, kwa sababu Nyerere alisemaga : 👇👇

👉 " Mtu akisha kula nyama ya mtu hawezi kuacha hadi anaingia kaburini" ( Elewa maana ya neno nyama ya mtu )

👉So baada ya kumtoa moyoni mwangu huyu mtoto. Nikawa:

👉 Simfuatilii tena.

👉Simuulizi chochote.

👉 Akisema baba naenda kumtembelea rafiki yangu namwambia sawa. : Zamani ningemuuliza maswali kama vile: 👇👇

👉Rafiki yako gani?

👉 Anakaa wapi?

👉 Anasoma wapi?

👉 wazazi wake ni akina nani? Nipe namba zao niongee. Utarudi saa ngapi? Etc. Na mara zote ningemwambia uje na daftari lake la notes nione anavyo andika( Naweza kujua umakini wa mwanafunzi kwa kutazama anavyo andika)

Na akienda kwa rafiki zake. Akichelewa kurudi wala Simuulizi upo wapi wala sifanyi chochote.

👉Nilimpa " UHURU WA MANYANI" ( Nyani porini huwaga wapo uhuru kufanya chochote hakuna anaewauliza)

👉Kupitia uhuru huo wa manyani, she started to feel my absence in her life.

👉She felt my absence without my absence.

👉Kwenye maisha yake nikawa baba nipo ambae zipo

👉Akaanza kuona tofauti. Kwa sababu rafiki zake baba zao wapo very strictly.

👉But kwangu Mimi akaona nimebadilika.

👉Ule uhuru nilio mpa ukawa hauna tena thamani kwake cause it was too much available for her..

👉Yeye mwenyewe bila kushurutishwa na mtu yoyote siku moja akanifuata na kuanza kuniuliza huku akilia; 👇👇

👉" Baba wewe unataka Mimi mtoto wako niweje"
Nikamjibu nataka uwe vile unavyo taka kuwa.

Akaanza "ooh baba siku hizi hunipendi"! Kwanini? "Ooh hata hujali nimeenda wapi huulizi nimeenda kufanya nini, nikija muda wowote huulizi chochote. "

Akaomba msamaha akasema atakuwa vile ninavyo taka Mimi. Na kweli akabadilika na sasa hivi anajiandaa kufanya mitihani ya form 4.

👉Still bado nimeshikilia mfumo wangu. Simfuatilii wala simchungi. Nampa uhuru wa manyani ili aone hou uhuru hauna maana yoyote kwake. Awe bored ba huo uhuru.

👉Hadi mfumo wa familia nilibadilisha. Before that nilijenga mfumo wa familia kupitia yeye. Nikirudi nyumbani mtu wa kwanza kuitwa lazima awe yeye na majukumu yote ya msingi alikuwa anapewa yeye lengo likiwa kumjenga na kumuandaa kwa maisha ya baadae.

👉Nilipo ona ametafsiri hiyo situation kama nam overwork, nikabadilisha mfumo nikahamishia kwa dada wa kazi na wadogo zake wa kiume.

👉Baada ya kuwa sidelined sasa yeye ndo akawa ananiuliza kama kuna kazi za kufanya.

HIYO 👆 ILIKUWA NI INTRODUCTION , UJUMBE WANGU NI HUU HAPA👇👇

👉 Wapinzani wana andamana kwa sababu mama Samia umewapa uhuru mwingi sana. Huo uhuru umekuwa too much available to them to the extent of boring them.

Wana andamana kwa sababu wame kuwa bored na uhuru ulio wapa.

Ushauri wangu ni waache waandamane. Wawekee tu ulinzi kwenye maandamano yao wasije kufanya VURUGU mitaani. Mwisho wa siku ile haki yao ya kuandamana ikiwa too much available to them watakuwa bored tena. Watakosa kitu kingine cha kufanya.

J.K ALIFANYA HIVYO NA ALIFANIKIWA KWA KIASI KIKUBWA SANA.

YOU WILL THANK ME LATER.
 
Kama hujasomea saikolojia na umeandika yote haya kama suluhisho la kisaikolojia kwa wapinzani, basi wewe ndie una tatizo linalopaswa kushughulikiwa na psychiatrist haraka sana!
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Umeandika vizuri sana lakini hizo sheria kwenye political ground zitaishia kumgaragaza Mama yako.

Endapo mwenendo ule wa Kikwete kuwa_treat Wapinzani ungeendelea kwa miaka mingine mitano huenda leo hii tungekuwa na serikali inayoongozwa na chama pinzani
 
Sikubaliani na wewe
 
You nailed it bro.
 
Back
Top Bottom