Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi leo tarehe 18.12.2023

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,775
17,733
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:

A: Uteuzi na Utenguzi

i) Amemteua Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda.

ii) Amemteua Ndugu Selwa Abdalla Hamid kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Ndugu Hamid anachukua nafasi ya ndugu Athman Francis Msabila ambaye amesimamishwa kazi.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Hamid alikuwa Meneja Miradi, Bohari Kuu ya Dawa (MSD).

iii) Amemteua Ndugu Mariam K. H. Chaurembo kuwa Mikurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma. Ndugu Chaurembo anachukua nafasi ya Ndugu Lena Martin Nkya ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Kabla ya uteuzi huu, ndugu Chaurembo alikuwa Afisa Utumishi Mkuu,Wizara ya Nishati na amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'wale.

iv) Amemteua Ndugu Fabian Manoza Said kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Momba. Ndugu Said anachukua nafasi ya Ndugu Butamo Nuru Ndalahwa ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Said alikuwa Afisa Usimamizi Mkuu wa Mitihani, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa na amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu.

v) Amemteua Dkt. Khamis Hassan Mwinyimvua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Tanzania. Dkt. Mwinyimvua ni Mhadhiri Mwandamizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Prof.Longinus K. Rutasitara ambaye amemaliza muda wake.

B: Uhamisho

vi) Amemhamisha kituo cha kazi Dkt. Peter Maiga Nyanja, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Muleba kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.
Ndugu Nyanja anachukua nafasi ya Ndugu Maryam Ahmed Muhaji ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Manyara.

Uteuzi na uhamisho huu unaanza tarehe 18 Desemba, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.​

20231218_231427.jpg

20231218_231430.jpg
 
View attachment 2846593

View attachment 2846594
na huwez sikia maswala ya mfumo wa kiislamu ila ingekuwa ni enzi zile vitoto vya hayati mudi vingeanza malalamiko

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mw

Mashamba vp
 
Bora kulima nyanya kuliko hizi nafasi za teuzi, kwanza mda wote unakaa kama digidigi , kwamba mda wowote aliekuteua anaweza kukutengua mda wowote .
Lazima kufanya kile mteule wako anataka na wapambe wake wa karibu bila kujali kipo sawa au hakiko sawa vinginevyo utatiwa majungu mpaka basi

Kujipendekeza ni lazima kama kweli wataka kulinda nafasi yako mfano tu Angalia Naibu Waziri wa Afya

Sasa kwa wengine mambo ya hivi hatuwezi ,
 
Hakuna jipya hapo. Ni business tu as usual. Anateua, anatengua. Sababu na mamlaka ya kufanya hivyo, amepewa na Katiba outdated ya mwaka 1977.
 
Kumekucha. Fupa ng'amu ng'amu

Safi.
Kule "Local Government I"amefanya. KAZI miaka thelasini Sasa ni Afisa mipango Mkuu daraja la kwanza,anajua vyema mambo ya Elimu,Afya, Barbara,Vijiji,Mitaa,Maji na kadhalika ,mara Afisa aliyekuwa mwanasheria TFF ni Mkurugenzi wake.Hii naita Changamoto moto.
 
Back
Top Bottom