Rais Samia nashauri mteue Makonda Uwaziri Mambo ya Ndani. Ni jasiri na ndiye mrithi wa Sokoine aliyejitoa sadaka kuwatumikia Watanzania

Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
YULE JAMAA APATE MASTER DEGREE IN SOME SUBJECT THEN 2030 AGOMBEE URAIS.TUTAMPA KURA KWA KISHINDO .IN FACT NDANI YA CCM HAKUNA WAKUSHINDANA NAYE.
SLOGAN YA CCM ,UNAFIKI KWANGU HAPANA ,ANAITENDEA HAKI KINYAMA.YULE NDIYE CCM WA KWELI ,WENGINE UTAFIKIRI NI VIBARAKA WAKUIMBA CCM INA WENYEWE.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
1716810575522.png
 
Duh! Lissu awe kichaa?. Wengine watakuwaje?. Maana kapita Ilboru, UDSM na ana distinction ya LLM Warwick chuo Cha magenious. Sasa Kama ni kichaa sijui.
Unaweza kupita hata Harvard na bado ukaja kuwa kichaa.Huyu tokea apigwe risasi akili zake zimeruka.Ndio maana anaropoka tu bila ushahidi wala aibu.Alizungumzia rushwa kwenye uchaguzi wa Chadema akashindwa kuleta ushahidi wa uhakika. Chadema wakafunika kombe mwanaharamu apite au wamezima tatizo ambalo lingetokana na uropokaji huo.
Kungekuwa na ushahidi Chadema wasingekaa kaa kimya.
Warwick sio chuo cha ma genius ni chuo cha kawaida tu.Ni namba 67 duniani.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi

Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.

Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.

Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla

Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k

Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.

Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.

Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo

Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.
Maisha hayaendi hivyo.

una habari lazima awe mbunge kwanza?
 
Viatu vya Mrema tu ni oversize Kwa Bashite seuze Sokoine baba
 
Usimlinganishe na Sokoine. Sokoine was killed kisa kuna mafisadi alitaka kuwashughulikia.
Wanasema Ilikuwa ni kazi ya mchonga kumzima coz yule Moringe alikuwa anakuja Kasi sana pia alikuwa na nyota ya kupendwa na waTanganyika so aliona meza yaweza pinduliwa
 
Hata kama ana sifa zote hizo,kama hana hekima ya kuzungumza haziwezi kumsaidia kwa nafasi hiyo!
Kuna wakati Yesu alimwita mfalme Mbweha.
Watu waovu hawana staha mana wameandaliwa moto kwa sababu ya kiburi.
Wangekua na hekima wasingeiba fedha za umma.

China Engineer akiharibu mradi wa umma ananyongwa lakini Tanzania anapewa heshima kubwa .

Hatupo sirias na nchi yetu.
Tunadhani wazungu wanapata maendeleo kwa kuendekeza wahalifu kwenye serikali zao .

Mbona mahakamani watu hawaruhusiwi hata kucheka au kushangilia au kupiga makofi.
Wu huko hakuna haki za binadamu.?
Ukiruhusu watu wakawa wanaiba halafu wanapiguwa makofi badala ya kupigwa makofi utatengeneza Taifa
Anajinadi kwa dhana ya 'kutenda haki' wakati inampwaya. 'Kutenda haki' kunaambatana na 'kuwa fair' na 'reasonable' na kusikiliza pande zote mbili kwa usawa na siyo 'kuwa harsh' au 'arbitrary' kwa upande unaolalamikiwa na kuwadhalilisha hata wale ambao unadhani ni 'majizi' au 'wazembe' kwa sababu Katiba inatuongaza katika hiyo misingi ya kutenda haki na pale kwenye udhaifu utatuzi wake ufuate utaratibu uliowekwa kisheria na si vinginevyo. Hakuna anayelalamikiwa kwa kutenda haki, analalamikiwa anayeonekana hatendi haki, lakini anahubiri haki.

Unajua Mahakamani ndio kunakotolewa haki lakini hakuna haki hata ya kucheka au kupiga makofi.

Mahakamani ukionyesha dharau TU kwa hakimu anakutupa gerezani kwa siku kumi na nne kama mfungwa halisi na sio mtuhumiwa .

Sheria zifuatwe na mtu akitumia vibaya ofisi za umma hatakiwi kuendelea kuheshimiwa zaidi ya kuitwa mwizi .
Hata Wapinzani hua hawatumii lugha za hekima wanapowataja wezi WA Mali za umma. Hata makada wa CCM hua hawatumii lugha za staha wakati wa kampeni dhidi ya wapinzani.
Staha haiwezekani kwa mtu anayepinga juhudi za kupambana na wezi wa fedha za umma.

Watu wanatamani Makonda aondolewe sio kwa sababu hafanyi kazi bali kwa sababu anapambana na wavunja Sheria na mafisadi
 
Kuna wakati Yesu alimwita mfalme Mbweha.
Watu waovu hawana staha mana wameandaliwa moto kwa sababu ya kiburi.
Wangekua na hekima wasingeiba fedha za umma.

China Engineer akiharibu mradi wa umma ananyongwa lakini Tanzania anapewa heshima kubwa .

Hatupo sirias na nchi yetu.
Tunadhani wazungu wanapata maendeleo kwa kuendekeza wahalifu kwenye serikali zao .

Mbona mahakamani watu hawaruhusiwi hata kucheka au kushangilia au kupiga makofi.
Wu huko hakuna haki za binadamu.?
Ukiruhusu watu wakawa wanaiba halafu wanapiguwa makofi badala ya kupigwa makofi utatengeneza Taifa

Unajua Mahakamani ndio kunakotolewa haki lakini hakuna haki hata ya kucheka au kupiga makofi.

Mahakamani ukionyesha dharau TU kwa hakimu anakutupa gerezani kwa siku kumi na nne kama mfungwa halisi na sio mtuhumiwa .

Sheria zifuatwe na mtu akitumia vibaya ofisi za umma hatakiwi kuendelea kuheshimiwa zaidi ya kuitwa mwizi .
Hata Wapinzani hua hawatumii lugha za hekima wanapowataja wezi WA Mali za umma. Hata makada wa CCM hua hawatumii lugha za staha wakati wa kampeni dhidi ya wapinzani.
Staha haiwezekani kwa mtu anayepinga juhudi za kupambana na wezi wa fedha za umma.

Watu wanatamani Makonda aondolewe sio kwa sababu hafanyi kazi bali kwa sababu anapambana na wavunja Sheria na mafisadi
Hayo unayosema ni kwa sheria ipi, maana Ibara 12(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 (R E. 2005) inasema: "Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake"? Na wewe lete kifungu Cha sheria kinachosema mtumishi wa umma akituhumiwa kwa wizi hapaswi kuheshimiwa na hayo unayoyasema pia yanaendana na Ibara ya 13(6)(b) inayokataza 'mtu kutendewa kama mwenye kosa...mpaka itakapothibitika kuwa anayo hatia ya kutenda kosa hilo'? au Ibara 13(6)(d) inayosema 'kwa ajili ya kuhifadhi haki ya usawa wa binadamu, heshima ya mtu itatunzwa katika zhughuli zote zinazohusu upelelezi na uendeshaji wa mambo ya jinai na katika shughuli nyinginezo...'?
 
Tofautisha usimamizi, uongozi na utawala katika mazingira ya kisiasa na mambo mengine. Huwezi kuingia kwenye ofisi ya Bosi ukiwa unakula muhindi au unatafuna bablishi wakati umeitwa kwa ishu ya kinidhamu na sio kirafiki.

Ukiulizwa useme una haki ya kula muda wowote .

Tukiwa na taifa la watu wanaotumia Sheria na katiba kutumia ofisi kwa manufaa yao tutachelewa sana.

Hata mahakamani hakuna uhuru wa kupiga makofi.
 
Kwa hiyo, yeye yuko sehemu gani ambayo Katiba na sheria za nchi hazifanyi kazi kwake au unaishi dunia gani?
 
Back
Top Bottom