Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,212
- 7,258
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi
Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka.
Ni aina ya Kiongozi asiye na hofu na aliyejitoa wa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania na wakati wote yupo tayari kufanya chochote kuhakikisha haki ya mtu inapatikana tena kwa wakati.
Ni aina ya ya Kiongozi aliyevaa ujasiri halisi na mrithi wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania Edward Moringe Sokoine
Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana ya kuongoza Wizara nyeti ya mambo ya ndani basi matokeo chanya kiutendaji yataonekana ndani ya muda mfupi ndani ya Serikali, Chama cha Mapinduzi na kwenye maisha ya Watanzania kwa ujumla
Ni aina ya Kiongozi ambaye akikabidhiwa dhamana husika Watanzania watalala majumbani mwao bila kuhofia majambazi, wanawake kwenye ndoa hawatahofia kunyanyaswa, watoto wa kike hawatahofia kunyanyaswa na makondakta wa daladala,
Traffic wataogopa kuchukua rushwa barabarani, vituo vya polisi havitajaza mahabusu bila sababu za msingi, askari magereza hawatayanyasa wafungwa/ mahabusu, hati za kusafiria zitatolewa kwa wakati bila usumbufu, matapeli wa viwanja watapotea, hakutakuwa na foleni barabarani, mateja watakuwa historia inayosomwa shuleni n.k
Ni aina ya Kiongozi ambaye akiwa ofisini DCI& DPP wataharakisha kupeleka kesi mahakamani/watafuta kesi za mchongo.
Ni aina ya Kiongozi anayejiamini, hodari kufanya maamuzi na kutatua matatizo, msikilizaji kero za watu, mwenye uwezo wa kujihamasisha na mtetezi wa haki na yupo tayari kujifunza.
Matokeo chanya kiutendaji ya Mheshimiwa Makonda yataifanya CCM ikose ulazima wa kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
Yapo mengi yanayomuhusu Makonda lakini niishie hapo
Hata hapa napoandika najua wazembe nimewatia hofu japokuwa nimetoa tu ushauri kwa mamlaka husika.