Rais Samia: Kwenye ajira za Wizara ya Mambo ya Nje mnawabeba watoto wa viongozi, wafanye kazi au wasifanye mnawabeba

Huko wanaogopa na hata wakiwepo wanakuwa kwenye nafasi za uafisa wa Juu ila huwezi wakuta kwenye oparesheni shenzi sana hao kinyume na Nchi zingine.

May be Kwa sababu Bado tuko kwenye njia ya kutafuta ustaarabu wa kweli.

Naunga mkono Katiba Mpya itoe fursa Kwa wote japo Machadomo wasidhani with Katiba Mpya wataitoa ccm kirahisi.
Mbowe Wakati akina Makongoro wanaenda Jeshini yeye alikuwa Hotelini kwao anapigisha Disco na akina Kalikali leo anaajiri Makomandoo wamlinde

Nchi ngumu sana hii bwashee 😄😄
 
Hakuna kitu kama hicho, juzi kampuni yake hewa imelipwa 10B badala ya 2B, lile ni jangili kama majangili mengine
Kumbe ni Mwekezaji wa kitambo ila Sasa anafanya vibaya Kuibuka wakati wa Uongozi wa mama kwenye masuala ya biashara japo Sina uhakika maana Wanasiasa mnatunga uongo mwingi sana.

Ila Kwa nafasi yake ni Afisa usalama Wala sio vibaya kumlinda mama yake maana hii ni Africa sio Ulaya ndio maana huko Chadema Kuna Mtoto wa Mbowe,wake zao ,mahawala nk 😂😂
 
My Take:
Kujirekebisha kusiishie Wizara ya mambo ya Nje tuu Bali nafasi zote ambazo ni nono kama Tanapa, TanRoads, BoT, NSSF, EWURA,TCRA nk.
Arekebishe sehemu zote zinazochangia ustawi wa uchumi wa nchi bila kujali sehemu nono ndio jambo linalopaswa kufanyika.
 
Kumbe ni Mwekezaji wa kitambo ila Sasa anafanya vibaya Kuibuka wakati wa Uongozi wa mama kwenye masuala ya biashara japo Sina uhakika maana Wanasiasa mnatunga uongo mwingi sana.

Ila Kwa nafasi yake ni Afisa usalama Wala sio vibaya kumlinda mama yake maana hii ni Africa sio Ulaya ndio maana huko Chadema Kuna Mtoto wa Mbowe,wake zao ,mahawala nk 😂😂
Kwamba ana nguvu za kumlinda mama ake kuliko JWTZ?
 
Mama mbona kama anakuwa mgeni na Jinsi nchi hii inavyoendeshwa?? na sasahivi si ametoa kibali cha TRA kuajiri wenyewe atulie tu anywe mtori nyama ziko chini
 
Rais akiwa msafi wengine wote mbona mtanyooka chap

point ya maana sana, tatizo liko juu, ukiona incompetence kila mahali ujue shida iko juu, wanasema the fish stinks from the head, leo hii tanzania nothing works mwendokasi ime/nakufa, umeme hakuna, maji shida, kila kitu kinarudi nyuma raisi mwenyewe kasafiri na idadi ya watu isioelezeka wote kwa gharama ya serikali …
 
Boss wako akiwa hachukui rushwa wewe utathubutu? tatizo linaanzia juu kushuka chini
 
Back
Top Bottom