Rais Samia kuhutubia kwenye Mkutano wa FOCAC nchini China

Nyakijooga

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
201
371
IMG-20240903-WA0019.jpg

IMG-20240903-WA0022.jpg
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China.

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo anatarajiwa kuhutubia ufunguzi wa Mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.
photo_2024-09-03_18-04-48.jpg

1000001818.jpg

PIA SOMA
- Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

- Je, ni kwa jinsi gani FOCAC inaweza kudumisha uhai wake kwa muda mrefu?

- Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC
 
A
Rais Samia kuhutubia kwenye mkutano wa FOCAC nchini China

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuaanza September 4-6 nchini China.

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Atahutubia ufunguzi wa mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Mhe. Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.
ll this is rubbish kama watu wanatekwa hapa. where is Soka et al?
 
Bora aende mwenyewe, isiwe mara zote ni kuwatuma akina "on behalf of my plesidenti".
 
Rais Samia kuhutubia kwenye mkutano wa FOCAC nchini China

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuaanza September 4-6 nchini China.

Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Atahutubia ufunguzi wa mkutano wa FOCAC.

Atafanya mazungumzo na Rais China, Mhe. Xi Jinping na kushuhudia uwekaji saini wa Hati za Makubaliano ya Uboreshaji wa Reli ya TAZARA.

Atakutana na makampuni na wawekezaji kutoka China ili kuhamasisha uwekezaji zaidi nchini Tanzania.
View attachment 3085905
1725375490228.jpeg
 
Mko wengi
 
kila la kheri kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan,

ama kwa hakika umeifungua Tanzania miongoni mwa maTaifa ya ulimwengu..

na kwa jitiahada na dhamira yako njema, kama Taifa, tunaheshimika sana sasa, tunathaminika mno na tunaaminika kwelikweli Duniani kote :KasugaYeah: :KasugaYeah: :ClapHD:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom