Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
24,700
18,084
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29.

Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM,kukagua miradi mbalimbali ikiwepo ujenzi wa magodown takribani 28 yaliyojengwa kati ya 50 yanayotarajiwa kujengwa.

Lakini pia Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kukagua miradi ya kilimo,kituo cha madini na mambo mengine makubwa mbalimbali ambayo yatafanywa na Mheshimiwa Rais.Ambapo pia Mama yetu na Rais wetu anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha La Utamaduni linalofanyika Mkoani humo katika uwanja wa Majimaji.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, anaendelea kuwa karibu na watanzania na kuangalia kwa ukaribu namna wanavyopata huduma na namna mabilioni kwa mabilioni ya pesa anayotoa yanavyoleta mabadiliko na nuru pamoja na tabasamu kwa maisha ya watu.

Anakwenda kuangalia utekelezaji wa maagizo yake na kushuhudia namna Kasi ya maendeleo inavyoendelea chini ya uongozi wake, ambao umeendelea kukonga mioyo ya watu wengi sana kutokana na kukidhi matarajio na kukata kiu ya wengi. Anakwenda kusikiliza kero za watanzania kupitia wawakilishi wao kama vile wabunge pamoja na kuzipatia ufumbuzi au majibu stahiki

Screenshot_20240901-150630_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
 
View attachment 3100972

Yes,
Nchi Lazima nchi isonge mbele kijamii, kisiasa na kiuchmi, tena ikiwa jemedari mkuu wa maendeleo ya wananchi yuko mbele, halafu tena ndie ambae pia ni chaguo na kipenzi cha waTanzania wote 2025, Dr Samia Suluhu Hassan. si mchezo dah👊👊💪💪
 
Kazi imeisha niliota ndoto kuwa akitoka nje ya dar anarud kwenye mbao iliyowekewa bendera ya taifa
Jamani hii.ratiba mbona ilisha pangwa siku nyingi sana, au unazani watu wamekurupuka!!?? Kumbuka uchaguzi unakaribia, Mama lazima sasa apige ziara Nchini!!
 
Mwambie mama etu mpendwa aruhusu wafanyabiashara wa mahindi toka nchi za nje waingie huko , watu wanalia na mahindi kilo 350 sio afya kwa chama chetu , manung"uniko kwa wakulima ni mengi mno. Pia mambo ya kuchambua mahindi kama mchele yanawatesa wakulima
 
Mwambie mama etu mpendwa aruhusu wafanyabiashara wa mahindi toka nchi za nje waingie huko , watu wanalia na mahindi kilo 350 sio afya kwa chama chetu , manung"uniko kwa wakulima ni mengi mno
Mama yetu ni msikivu sana .Lakini inakuwaje mnauza 350 kwa kilo wakati bei ya serikali ni 700 kwa kilo?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29.

Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM,kukagua miradi mbalimbali ikiwepo ujenzi wa magodown takribani 28 yaliyojengwa kati ya 50 yanayotarajiwa kujengwa.

Lakini pia Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kukagua miradi ya kilimo,kituo cha madini na mambo mengine makubwa mbalimbali ambayo yatafanywa na Mheshimiwa Rais.Ambapo pia Mama yetu na Rais wetu anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha La Utamaduni linalofanyika Mkoani humo katika uwanja wa Majimaji.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, anaendelea kuwa karibu na watanzania na kuangalia kwa ukaribu namna wanavyopata huduma na namna mabilioni kwa mabilioni ya pesa anayotoa yanavyoleta mabadiliko na nuru pamoja na tabasamu kwa maisha ya watu.

Anakwenda kuangalia utekelezaji wa maagizo yake na kushuhudia namna Kasi ya maendeleo inavyoendelea chini ya uongozi wake, ambao umeendelea kukonga mioyo ya watu wengi sana kutokana na kukidhi matarajio na kukata kiu ya wengi. Anakwenda kusikiliza kero za watanzania kupitia wawakilishi wao kama vile wabunge pamoja na kuzipatia ufumbuzi au majibu stahiki

View attachment 3100972

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Huku anazuia mikutano ya vyama vya upinzani.....Magu naye alijiona Mungu mtu hivihivi
 
Ameogopa kwenda kwa mbeberu USA baada ya kuwananga kwa maneno shombo ya kwenye vicoba na taarabu 🤣🤣🤣😅😅
 
So What?
 
Back
Top Bottom