Kuelekea 2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bulelaa

JF-Expert Member
Jun 28, 2024
567
1,352
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya.

Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni.

Tangu nimekuwa kijana na sasa naelekea uzee, sjawahi kusikia manung'uniko ya watu wengi, si wanawake, vijana na hata wazee ingawa wapo wanaomuunga mkono Rais kwenye kada ya kilimo nao si wengi.

Lakini kwa ujumla wake, wananchi wameuchoka kabisa uongozi huu.

Laiti kungelikuwa na kinasa sauti kinachonasa mawimbi ya sauti kutoka pande zote za nchi.

Kuna wakati kwa hali ya ubinadamu, Unaweza kuchomoka ukaziacha ofis ukaenda Oman kula bata, vinginevyo, ukiwa huna huruma, unawasweka ndani wananchi wako karibu asilimia 80.

Narudia tena kwa ushauri, ili kuepuka dhahama ya CCM kudhalilishwa, wekeni mgombea mwingine.

La hamtaki, kitakachowaponya, ni ule ujasiri wenu wa kutojali maisha ya wengine, basi mjipange kisawasawa kuiba kura kwa kuchota na siyo kwa kudonoa donoa.

cc: Tlaatlaah
 
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya

Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milion

Tangu nimekuwa kijana na sasa naelekea uzee, sjawahi kusikia manung'uniko ya watu wengi, si wanawake, vijana na hata wazee ingawa wapo wanaomuunga mkono Rais kwenye kada ya kilimo nao si wengi

Lakini kwa ujumla wake, wananchi wameuchoka kabisa uongozi huu

Laiti kungelikuwa na kinasa sauti kinachonasa mawimbi ya sauti kutoka pande zote za nchi,

Kuna wakati kwa hali ya ubinadamu, Unaweza kuchomoka ukaziacha ofis ukaenda Oman kula bata, vinginevyo, ukiwa huna huruma, unawasweka ndani wananchi wako karibu asilimia 80!

Narudia tena kwa ushauri, ili kuepuka dhahama ya ccm kudhalilishwa, wekeni mgombea mwingine

La hamtaki, kitakachowaponya, ni ule ujasiri wenu wa kutojali maisha ya wengine, basi mjipange kisawasawa kuiba kura kwa kuchota na siyo kwa kudonoa donoa!

cc: Tlaatlaah
Unadhani nani anweza kumnyima mama kura.? Amefanya mazuri mengi, Leo hiii mnapita mnabwabwaja hovyo mitaani si ni huruma yake, Acha bangi dada
 
Kweli cha Arusha ni hatarishi kwa afya ya akili yako, wewe unadhani nani anweza kumnyima mama kura.?? Amefanya mazuri mengi, Leo hiii mnapita mnabwabwaja hovyo mitaani si ni huruma yake, Acha bangi dada
Dada yako àkiwa mvuta bangi, usichukulie sasa na dada wengine ni wavuta bangi
 
1. hakuna Mwanaume wa Kiafrika anaweza mchagua Mwanamke kwenye nafasi ya Urais,
2.vilevile hata hao hao Wanawake hawapendi Mwanamke mwenzake amuongoze.
3.Hakuna Mtanzania kutoka Bara anaweza kumchagua Mtanzania Mzanzibar kumuongoza.
4.Hakuna Mkiristo anaweza mpa kura Muislam,na kwa Tanzania karibu 80% ni Wakristo.

Anayebisha na abishe but kwenye mambo ya uchaguzi hivyo ndio vitu watu huviangalia.
SAMIA hata umsimamishe na mimi,lazima nitachaguliwa MIMI kwa sababu za hapo juu.
 
CCM hata wakiweka ule mdoli unaitwa Eunice utaongoza tu hii nchi, mtaambiwa AI inaweza kuongoza nchi na mtakubali..
 
4.Hakuna Mkiristo anaweza mpa kura Muislam,na kwa Tanzania karibu 80% ni Wakristo.
Uzi nimeandika mimi, ila kwenye hili nakupinga na ninakuona ni kama mtu uliyetekwa na udini usio na maana yoyote

Dunia ya watu wanaoshindana wajue nini maana ya maendeleo, jambo la udini huliweka mbali sana kwenye sayari isiyofahamika kabisa

Badala yake wanajikita kufanya kazi kwa lengo la kujenga nchi yao isiyo na ubaguzi

Hatumpi Juma kuongoza nchi yetu kwa kigezo cha dini yake, vilevile kwa John

Hao tunawapa kuongoza nchi yetu kama Watanzania na tunaowaamini kwamba, watatusogeza hatua moja mbele
 
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya

Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milion

Tangu nimekuwa kijana na sasa naelekea uzee, sjawahi kusikia manung'uniko ya watu wengi, si wanawake, vijana na hata wazee ingawa wapo wanaomuunga mkono Rais kwenye kada ya kilimo nao si wengi

Lakini kwa ujumla wake, wananchi wameuchoka kabisa uongozi huu

Laiti kungelikuwa na kinasa sauti kinachonasa mawimbi ya sauti kutoka pande zote za nchi,

Kuna wakati kwa hali ya ubinadamu, Unaweza kuchomoka ukaziacha ofis ukaenda Oman kula bata, vinginevyo, ukiwa huna huruma, unawasweka ndani wananchi wako karibu asilimia 80!

Narudia tena kwa ushauri, ili kuepuka dhahama ya ccm kudhalilishwa, wekeni mgombea mwingine

La hamtaki, kitakachowaponya, ni ule ujasiri wenu wa kutojali maisha ya wengine, basi mjipange kisawasawa kuiba kura kwa kuchota na siyo kwa kudonoa donoa!

cc: Tlaatlaah
Mimi alipo ni- put off completely ni kwenye ile IGA ya kishenzi na utumwa. Siamini kuwa aliikubali kwa kukosa uelewa. Lazima kuna dhamira chafu nyuma yake.

La pili.ni upendeleo wa wazi kwa Zanzibar.

Population ya Wazanzibari kwenye Muungano, haifiki hata 3%, lakini kwenye mgao wa misaada na mikopo ya nje, kwa kadiri ya makubaliano ya mkataba wa Muungano, Zanzibar ilikuwa inapata 4%. Watanganyika wamekuwa wanalalamikia kuwa hiyo 4% ni kubwa mno, ukizingatia pia Zanzibar huwa hailipi mikopo. Mikopo yote huwa ni mzigo wa Tanganyika katika kulipa. Kama hiyo haitoshi, Mama kaongeza mgao wa Zanzibar toka 4% mpaka 9%!!

Ongeza na ugawaji wa mbuga za wanyama na misitu kwa waarabu, huku watanzania wamasai wakifurushwa na kuambiwa waondoke kwenye maeneo yao ya asili.

Matumizi mabaya yapesaya umma, kama vile kuzururana wasanii nje ya nchi kwa gharama ya umma, huku nchi ikiwa ina mapungufu mengi kama vile kushindwa kuajiri watumishi wa sekta ya afya huku hospitali nyingi zikiwa zina upungufu mkubwa wa madaktari na wauguzi.
 
Mwakani mtashangaa kiasi ambacho hamjawahi kuona.
 
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya.

Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni.

Tangu nimekuwa kijana na sasa naelekea uzee, sjawahi kusikia manung'uniko ya watu wengi, si wanawake, vijana na hata wazee ingawa wapo wanaomuunga mkono Rais kwenye kada ya kilimo nao si wengi.

Lakini kwa ujumla wake, wananchi wameuchoka kabisa uongozi huu.

Laiti kungelikuwa na kinasa sauti kinachonasa mawimbi ya sauti kutoka pande zote za nchi.

Kuna wakati kwa hali ya ubinadamu, Unaweza kuchomoka ukaziacha ofis ukaenda Oman kula bata, vinginevyo, ukiwa huna huruma, unawasweka ndani wananchi wako karibu asilimia 80.

Narudia tena kwa ushauri, ili kuepuka dhahama ya CCM kudhalilishwa, wekeni mgombea mwingine.

La hamtaki, kitakachowaponya, ni ule ujasiri wenu wa kutojali maisha ya wengine, basi mjipange kisawasawa kuiba kura kwa kuchota na siyo kwa kudonoa donoa.

cc: Tlaatlaah

CCM wana njia zao za kuwaweka viongozi wao madarakani.

Kikwete 2010 alibwagwa wakafanya vitu vyao, JPM akagalagazwa 2015 wakatusukumizia .... 2020 wakaamua kuiba uchaguzi wote .... tusubiri tuone watakachotufanyia 2025. Haya mambo ya mara 4R, mara Tume, mara mafunzo ya Katiba kwa nmiaka 3, mara Kikosi kazi .... ni process nzima ya kutupiga tena 2025 .... wanabuy time tu!!
 
Unadhani nani anweza kumnyima mama kura.? Amefanya mazuri mengi, Leo hiii mnapita mnabwabwaja hovyo mitaani si ni huruma yake, Acha bangi dada
Kakufanyia zuri wewe kwa kukupa pesa za mwanae Abdul halafu una - generalise mambo?

Acha hizo wewe. Kakufanyia wewe na familia yako...
 
Back
Top Bottom