Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
8,065
11,284
Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu .

Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama Anacheka na kujifanya yeye hajahusika
 
Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Fala Work!! Mbaavu zako!!
 
Kiufupi sio rais Samia.
Ni Abdul.. kila kitu kila mission inafanywa na Abdul
 
Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Ana PhD ya unafiki.
 
Kwann ss mama anafanya hvyo 🤔
FB_IMG_1724330690583.jpg
 
Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
The lady is running amok and out of control courtesy of smelly Msoga fish mongers.
 
Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Tufanye Sawa kwani Kuna shida?
 
Na Magufuli hakuwahi kumfunga yoyote kati ya viongozi wakubwa wa Chadema,yeye ilikuwa vitisho tu
 
Tusimumunye Maneno: Rais Samia ndiyo kawaweka gerezani Lissu na Heche. Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye ukandamizi huyu Mama ni mwongo mwongo kwenye mambo mengi. Anacheka na kujifanya yeye hajahusika kumbe yeye ndiye katoa maagizo yote
Na kuna mbunge kawaambia km kazi wamefanya wanaogopa nn?
 
Back
Top Bottom