1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni facta probanda
2. Kama kiongozi, unazijibu hard facts kama alivyofanya RUTO na sakata la kukodi ndege.
3. Kwamba mkataba wa Korea umeuza bahari. It is a fact, factum probandum, kanusha hiyo fact with evidence.
4. Pamoja na kuwa law of evidene inasema he who alleges must prove, in this special case burden inashift kwako kuzijibu kama kiongozi wa nchi.
Kuwa mvumilivu , hakuna mwenye ubavu wa kukutukana na hakuna sababu ya kukutukana kama Rais wa nchi.