Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,138
26,089
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.

Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.

Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.

Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.

Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
 
Japo binafsi ningependa viwanda vifufuliwe. Lakini siafiki serikali kuviendesha. Labda vifufuliwe na watu binafsi na serikali iwe na hisa walau 30%, nyingine say 40% iwe public na 30 %iwe ya mwekezaji. Serikali ikivifufua hivi viwanda na kuviendesha vitakufa tena.
 
Ilifanyika hii lakini mwisho wa siku vilikufa kabisa tena kifo kibaya maana wawekezaji waliovichukua walivitumia kuchukuliwa mikopo bank na kwenda kuanzisha biashara nyingine.

Serikali kufanya yenyewe nayo ni ngumu kutokana na tabia za watendaji, Ila pia serikali kubinafsisha kwa mwekezaji naho ndio hasara kabisa.

Serikali iweke mazingira mazuri mwekezaji ajenge kiwanda chake Kama ilivyo kwa Dangote, Mo, SSB na wengine. Wakijenga kwa nguvu zao huwa wanakuwa na uchungu
 
Ili visife ni muhimu kuwe na uwazi kwenye uendeshaji. Na uwazi utapatikana kwa hivi viwanda kumilikiwa na public kwa % fulani kama ilivyo Twiga, MCC, Tanga Cement, NMB au TBL. Serikali isiachie sekta binafsi kwa 100% kwa sababu wanacollude na kupanga bei kama ilivyo kwenye viwanda vya chuma hapa nchini kwa sasa.

Serikali iuze sehemu ya hivyo viwanda kwa umma na wao wabakiwe na sehemu then management itakuwa inatetea maslahi ya kila pande. Havitakufa.

Ila tukiuza kama tulivyofanya MOPROC au ZZK vifakufa tena maana watafanya kuchukulia mikopo kama ulivyosema
 
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujia kuwa nchi yya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.

Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.

Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.

Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.

Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Bro sio kufufua ni kukijenga upya
 
Wanapaswa kuhakikisha kwanza kinarudi kuwa mali ya serikali kwa maana ya umiliki, maana sidhani kama mitambo itakuwa inaweza kuwa mizima au kuwepo.

Naamini kilichopo ni eneo tu ambalo linapaswa kurudi kuwa mali ya serikali, Serikali iweke mtaji na kuleta mtu kuja kufanya operation huku ikitengeneza uhakika wa soko, ukitegemea muwekezaji aje awekeza 100% utamkosa maana walewale washindani wataenda kuhakikisha muwekezaji hapatikani.
 
Umeme wa kuendesha hivyo viwanda upo?
Gharama ya mafuta ( usafirishaji , mitambo ) , inaweza kutoa faida ya mwenye mafuta?
Kuna barabara uhakika?
 
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.

Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.

Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.

Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.

Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Afufue kiwanda kwa hela za serikali?

Kama ni hela za serikali,does it make any economic sense?

Hao walioacha kuna business reason for that,what is it?

Resolve it then ndio ufirikirie kuweka hela za kodi humo na kifanye kazi kweli kwa faida....

Viwanda haviachwi hivi hivi tu eti vife for the sake of it....kuna economic reason kinaleta hasara,who wants that nonsense?

Kama serikali inapenda kuweka hela mahali ipate hasara kama kipindi cha Magufuli then sawa...kapotezeni hizo hela aje afe kwa pressure tuzike kama jamaa yake Jiwe!
 
Ilifanyika hii lakini mwisho wa siku vilikufa kabisa tena kifo kibaya maana wawekezaji waliovichukua walivitumia kuchukuliwa mikopo bank na kwenda kuanzisha biashara nyingine.

Serikali kufanya yenyewe nayo ni ngumu kutokana na tabia za watendaji, Ila pia serikali kubinafsisha kwa mwekezaji naho ndio hasara kabisa.

Serikali iweke mazingira mazuri mwekezaji ajenge kiwanda chake Kama ilivyo kwa Dangote, Mo, SSB na wengine. Wakijenga kwa nguvu zao huwa wanakuwa na uchungu
Hii ndio mijadala na sio
 
Afufue kiwanda kwa hela za serikali?

Kama ni hela za serikali,does it make any economic sense?

Hao walioacha kuna business reason for that,what is it?
Hiyo hea ya subsidy si ni ya serikali, yaani kodi zetu?

Resolve it then ndio ufirikirie kuweka hela za kodi humo na kifanye kazi kweli kwa faida....

Viwanda haviachwi hivi hivi tu eti vife for the sake of it....kuna economic reason kinaleta hasara,who wants that nonsense?

Kama serikali inapenda kuweka hela mahali ipate hasara kama kipindi cha Magufuli then sawa...kapotezeni hizo hela aje afe kwa pressure tuzike kama jamaa yake Jiwe!
That is not thinking out of the box.
Mbolea karibu yote sasa hivi inatoka Ukraine au Urusi.
Some issues are a matter of survival and not only economics.

What economic sense is there sasa hivi serikali ina subsidise bei ya mbolea?

Hiyo hela ya subsidy si ni kodi zetu, au you have not reasoned enough about it.
 
That is not thinking out of the box.
Mbolea karibu yote sasa hivi inatoka Ukraine au Urusi.
Some issues are a matter of srvival and not only economics.

What economic sense is there sasa hivi serikali ina subsidise bei ya mbolea?
Bro

Use your ugly butt to think correctly...huwezi niuzia 1 bag of fertilizer three times the price I can buy the same 1 bag from Ukraine!

Can never make any economic sense...na ni useless!

Eti ujenge mfuko wa mbolea Tanga 3X price ya mfuko huo huo ukiletwa kutoka nje....ni heri kiwanda kifungwe.....acha ujinga

Mimi mkulima ninunue kwa bei kubwa eti kwa sababu wewe mama Samia umejenga hicho kiwanda?For what hasa?

Shut it down,it is economically a pile of losses!
 
Its your butt needs some sounding and its passing shit the wrong way.
Get your sums and logic correct first.
 
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi.

Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei.

Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye uhai wowote.

Ni ajabu tunasheherekea siku ya wakulima Nanenane lakini kiwanda pekee cha mbolea ni kile cha Minjingu.

Mama Samia ukitaka kukukmbukwa na wakulima, tembea mwendo wa Mwalimu na kufufua kiwanda cha Mbolea Tanga.
Raskazone kwa wakubwa !!
 
Back
Top Bottom