Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,533
3,186
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.

Kwa maoni yangu angejua chuki za huyo mwamba asingejaribu hata kusogelea
Kwa comment hii,mkipatikana 500 TANZANIA lazima msababishe mauji ya kimbali,,,,,,,Samia ni Rais wa Tanzania, amefanya kujenga mahusiano mazuri ili vitukuu vyako vije viende na kuwekeza huko, in reality unafikiri kamuzu Banda Yuko kichwani kwa mama kiasi Cha kudondosha hata chozi!?, Na hata angekuwa na hisia za chuki kwa maslahi ya Taifa kama kuweka shada ni a way out to reach those priorities kwa ajili ya Taifa Bado angeweka tu, maana ingebidi,
 
Mara nyingi napataga shida kuwajibu machawa
 
Tiketi ya chama ndio kitambulisho pekee kinachompa mwanachama nguvu mjini,hawezi mwelewa mtu anayezungumza masuala ya kitaifa kwa ajiri ya Taifa,. , Ukiwa mwanachama ukiambiwa Sasa hivi tunapiga kule ,wewe unapiga tu ,Sasa hivi tusimame,wewe unasimama,,,urithi pekee kwenye kichwa chako ni hisia za mwenyekiti wa chama. Akimnunia flani na wewe unanuna, akimchekea na wewe unacheka,, akiongea pumba unapiga makofi,,,,,,mmerithi wakati na hisia za mwl Nyerere bila kujua kwamba Taifa linaendelea, think independently bro!!!
 
Huenda mimi nikawa chawa wa nyerere
 
Back
Top Bottom