Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

jjackline

Senior Member
Jul 25, 2024
111
273
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024.

Snapinsta.app_458151975_2026602031090975_5271623760340593192_n_1080.jpg
Pia soma:
 
Mwenye bahati zao ni hao wasimamizi wake samiha wana raha sana maana hawaumizi kichwa wao ni kumsindikiza na kula bataaa.

Yule bwana wasimamizi wake walikuwa kama watumishi wa halmashauri tu.
 
Yaani Sisi Tuje Tuuzwe Kweli
Mtaamua Wenyewe Wananchi Tuendelee Kukopa Ama
By Job Ndugai
 
Mwenye bahati zao ni hao wasimamizi wake samiha wana raha sana maana hawaumizi kichwa wao ni kumsindikiza na kula bataaa.

Yule bwana wasimamizi wake walikuwa kama watumishi wa halmashauri tu.
Zama....

Kila Zama na kitabu chake....

Ndege tunazo...matumizi ndiyo hayo sasa...
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03 Septemba, 2024.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
 
Attachments

  • IMG-20240903-WA0257.jpg
    IMG-20240903-WA0257.jpg
    313.5 KB · Views: 3
  • IMG-20240903-WA0259.jpg
    IMG-20240903-WA0259.jpg
    294.7 KB · Views: 3
  • IMG-20240903-WA0261.jpg
    IMG-20240903-WA0261.jpg
    339.5 KB · Views: 3
  • IMG-20240903-WA0263.jpg
    IMG-20240903-WA0263.jpg
    302.6 KB · Views: 3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03 Septemba, 2024.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Mama hana baya
 
Mwenye bahati zao ni hao wasimamizi wake samiha wana raha sana maana hawaumizi kichwa wao ni kumsindikiza na kula bataaa.

Yule bwana wasimamizi wake walikuwa kama watumishi wa halmashauri tu.
Yeye mwenyewe huyo Suluhu ana Suluhu Zanzibar pekee huku bara tozonia
 
Back
Top Bottom