Kuelekea 2025 Rais Samia awalipia gharama washiriki kutoka Arusha wanaoiwakilisha Tanzania mashindano ya pikipiki Afrika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,129
23,684
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba 25- 27, 2024.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo mapema leo Oktoba 22, 2024 Ofisini kwake Jijini Arusha wakati akiwaaga washiriki wa mashindano hayo, wanaoondoka leo Jioni kupitia shirika la ndege la Qatar Airways mapema leo Jioni kupitia uwanja wa ndege wa Arusha.

Wanaoondoka Jioni ya leo ni Wachezaji Kelvin Akyoo, Simon Mangombo pamoja na Colins Simonson ambapo wameambatana na Kiongozi wao Mmoja pamoja na mwanahabari Doto Kadoshi, wakiahidiwa Kukutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan watakaporejea ikiwa watafanya vizuri kwenye mashindano hayo makubwa barani Afrika yanayotarajiwa kufanyika Mjini Marrakech nchini Morocco.

FB_IMG_17295991382168940.jpg
 
fb_img_17295991382168940-jpg.3132653

HAKIKA RAIS WETU NI MPENDA MICHEZO, KONGOLE KWAKE.

FB_IMG_17295991599079933.jpg
 
Ni rais samia amelipa au ni serikali ya jamhuri ya muungano imelipa? Acheni ujinga watz.
 
..hao WAZUNGU wanawakilisha Tanzania, na serikali imewalipia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom