Rais Samia atoa salamu za pole kufuatia Kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
26,429
19,230
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ndio maneno na ujumbe wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.mara baada ya kifo cha Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga kufariki hii leo.

Soma
- TANZIA - Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

Screenshot_20240909-235238_1.jpg
 
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba Askofu Chediel Elinaza Sendoro, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga. Natoa pole kwa Mkuu wa KKKT Baba Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Maaskofu wote, waumini, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea faraja kwa neno kutoka katika Biblia Takatifu Kitabu cha Waebrania 13:14; “Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao.”

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Amina.
 

Attachments

  • 20240910_004151.jpg
    20240910_004151.jpg
    577.3 KB · Views: 5
  • 20240910_004135.jpg
    20240910_004135.jpg
    537.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom