Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 471
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima.
Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia kuongeza upatikanaji wa mbegu bora kwa wakulima katika mazao ya aina mbalimbali.
"Mwaka huu Rais Dk. Samia ametoa sh. milioni 100 za uzalishaji wa mbegu bora katika kituo chetu hizi ni jitihada kubwa ambazo zinaendelea kufanywa na serikali ya awamu ya sita na tunaamini matumizi ya mbegu bora yatasaidia katika mapinduzi ya kilimo," alisema.
Aliongeza: "Tunaiomba serikali jendelee kutoa fedha za utafiti па uzalishaji wa mbegu za msingi zinazopatikana kwa wingi na bei ambayo watu wengi watamudu kuzinunua." Dk. Meliyo alisisitiza
Watanzania wategemee kupata teknolojia nzuri, zenye tija, mbegu bora na kanuni bora za kilimo. Alifafanua wanawafundisha wakulima namna ya kuzalisha mama na alizeti kwa tija na kutoa mbegu zilizo bora zaidi kuliko za kienyeji zinazochukua muda mrefu shambani.
"Kituo cha utafiti cha TARI Hombolo kinafanya utafiti wa uwele, mtama na ulezi, lakini kwa kushirikiaa na vituo vingine tunafanya pia tafiti za mazao mengine ikiwemo alizeti, choroko, mihogo na viazi vitamu.
"Utafiti unalenga Kuzalisha teknolojia zenye tija kwa wakulima, hasa zinazozalishwa hapa ni mbegu bora za mama ambazo zinapandwa katika mikoa yenye hali ya hewva isiyotabirika mfano Dodoma, Singida, Simiyu na Shinyanga.: kwa" upande wake Mratibü wa Utafiti na Ubunifu, Dk. Eliud. Kongola alisera katika msimu huu wa killimo, TARI Homboo Wamefanya majaribio mbalimbali kufanyia tafiti changamoto zinazowakumba ambazo wakulima.
Arsema Wamekusanya mbegu za asili kama mtama, ulezi na uwele kutunza vinasaba kwa matumizi va kiutafiti
Dk. Kongola alisema mtama ndiyo zao linalolimwa zaidi kwa sababu huvumilia ukame, hivyo TARI inatarajia tafti zinazofanvwa zikitumiwa vizuri na wakulima zitaleta matokeo chanya kwa wakulima na taifa kwa ujumla.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakulima wa Kata ya Hombolo, wamempongeza Rais Samia kwa kutoa kipaumbele katika sekta ya kilimo kwa sababu ndiyo uti wa mgongo wa taifa.
Mkulima wa zabibu, Rabia Chikitu alisema Rais Samia amedhamiria kufanya mapindus katika sekta ya kilimo kwa sababu ameongera bajeti ya utafiti na kuhakikisha upatikanaji we. mbolea ya ruzuku. Alisema jitihada hizo zimelenga kupanua wigo wa ajira kwa viiana na utoshelezi wa chakula.