Rais Samia Ashushiwa Maombi Kanisani Peramiho

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,191
2,903
Wamuombee aache roho mbaya ya kudharau uhai wa binadamu wengine.

Wamuombee apate roho ya huruma na kuingilia kati mauaji ya kiholela.

Kubwa zaidi, wamuombee roho ya kukinai na kukubali kuwa nchi imemshinda akae pembeni kupisha wengine.
 
Aliingia kanisani kusali (kutubu na kuomba) au alienda kuangalia wanaosali?

Kama alienda kusali, Mungu wetu ni mwema na mwenye huruma. Ni furaha kubwa kwa ufalme wote wa mbinguni, pale mwanadamu mmoja anapoongoka na kuzigeukia njia za Bwana.

Kama alienda kutazama wanaosali, basi anakuwa ameenda kuibeba hukumu ya Bwana.

Kama alienda kusali au kuangalia wanaosali, hiyo siyo kazi ya mwanadamu, ni Mungu pekee ndiye huzijua nafsi zetu. Maombi yetu ni kutaka Rais aingiapo kanisani, aende akasali. Na akisali, atatoka akiwa kiumbe kipya. Wala asiwe kama akina Faustine Mafwele ambao wana majina ya Kikristo lakini hawajawahi kuwa wakristo.

Kama Rais aliingia Kanisani Peramiho kusali, tutarajie utekaji kukoma, waliotekwa kurudishwa, watekaji na wasimamizi wa utekaji wakiondolewa kwenye nafasi za uongozi.
 
alienda kupiga picha kama publicity stunt.
 
Wamuombee aache roho mbaya ya kudharau uhai wa binadamu wengine.

Wamuombee apate roho ya huruma na kuingilia kati mauaji ya kiholela.

Kubwa zaidi, wamuombee roho ya kukinai na kukubali kuwa nchi imemshinda akae pembeni kupisha wengine.
Sawasawa kabisa!
 
Back
Top Bottom