Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,459
- 3,777
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.