Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 29,863
- 21,075
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza.
Ilikuwa inamhitaji kiongozi Mwenye Nguvu , Ushawishi,utulivu ,umakini na mwenye uwezo wa kuzungumza na akasikika na kusikilizwa aina ya Rais Samia Suluhu Hasssan, kutokana na uadilifu wake ,uaminifu wake , uzalendo wake pamoja na Dhamira yake njema kwa watu .
Marekani ya sasa yenye changamoto mbalimbali tangia kuingia kwa utawala mpya ilikuwa inamhitaji Rais Samia kuiunganisha ,kujenga umoja wa kitaifa na kuleta amani Duniani Kwote. Ilikuwa inamhitaji Rais Samia kuwa Whitehouse na kuiongoza Dunia isiyo na vita wala machafuko yenye kugharimu Maisha ya watu wasio na hatia kama ilivyo kile Gaza ambako watu wanashindwa hata kufikiwa na chakula cha msaada.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hakika Rais Samia angekuwa amezaliwa na kuwa Raia wa Marekani kwa hakika Angelazimishwa Kugombea Urais na kupita kwa kishindoo kikuu kuwahi kutokea.
Ndio Maana nasema ya kuwa watanzania tuna bahati sana kuongozwa na Rais Samia. Hii ni zawadi kwetu tunayopaswa kuitunza na kujivunia kuwa nayo hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa , Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili