Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,870
3,210
Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.

Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes

Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika

Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.

Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian.

Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania

Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.

Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu

Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae

Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa peke yake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi.

Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2

Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
 
Mods marekebisho ya heading Rais Samia usije kubaki mdomo wazi kama chakwera wa malawi

Badilisheni apo hisije iwe usije
 
Huyu mama ana bahati sana.
Kila anayejenga hoja anamwondoa kwenye u makusudi wake.
Kama vile yeye ni tabulalaza au hawezi husika kwenye mchongo!
Sijui mnadhan hataki hela!
Hata mbarawa tunayempigia kelele si ajabu anapewa maelekezo anapewa ka mnofu tu.
Hatujiulizi kwanini awamu hii tumejifungamanisha na uwekezaji wa kiarabu!
ukweli ubaki tu tunahitaji mbia mzuri na mwema katika kuendesha bandari zetu kukuza uchumi wetu.
Ila uhitaji huo nahisi umetumiwa vibaya, kupitia mkataba tena kwa makusudi ya waliopewa dhamana ya kututatulia shida yetu.
Wananchi tujielekeze kwamba hata hao viongoz wanaohitaji future kupitia hapo walipo kama wafanyabiashara wanavyopambana kukwepa kodi. Dawa ni kukabana kwa kuweka uwazi na uchambuzi.
Tuamke! Tuhoji! Tujibiwe! Tujiridhishe! Pa kukataa tukatae; sofway or hardway.
 
Huyu mama ana bahati sana.
Kila anayejenga hoja anamwondoa kwenye u makusudi wake.
Kama vile yeye ni tabulalaza au hawezi husika kwenye mchongo!
Sijui mnadhan hataki hela!
Hata mbarawa tunayempigia kelele si ajabu anapewa maelekezo na ka mnofu tu.
Hatujiulizi kwanini awamu hii tumejifungamanisha na uwekezaji wa kiarabu!
ukweli ubaki tu tunahitaji mbia mzuri na mwema katika kuendesha bandari zetu kukuza uchumi wetu.
Ila uhitaji huo nahisi umetumiwa vibaya kupitia mkataba kwa makusudi ya waliopewa dhamana kututatulia shida yetu.
Nina path mashaka sana na uwezo wa Mbarawa kwenye bargaining table nazani is too inferior hatumii akili zake
 
Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.

Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes

Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika

Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania

Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.

Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu

Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae

Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2

Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Uliyemtaja ni dalali mkuu... na dalali hana hasara, huyo waziri ni stamp tuu
Hiyo timu uliyoitaja ni ya wapigaji balaa hata uncle wangu Pascal Mayalla simuamini kwakua anapitia kipindi kigumu saana cha uchumi na anatamani saana teuzi
 
Kama karidhia je?
 
Mayalla yuko vizuri financially anakunja pesa nyingi zaidi ya DC
Kitu pekee kwa Pascal ni mkweli
Jamea anapenda ukweli na amenyooka
Pia ni mwanasheri
Media personnel
Na political analyst
Anatakiwa awepo kwenye hii timu
 
Back
Top Bottom