technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,287
50,122
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.

Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia anataka tuyagombanie

Imagine leo Mahindi gunia limefika 150,000. Sisi kipaumbele chetu ni kuilisha Kenya au kuhakikisha nchi yetu inakuwa na food security? Rais anafanya nini? Waziri mkuu yuko wapi? Waziri wa kilimo anafanya nini nchi inaingia kwenye mgogoro wa chakula?

Leo 1kg ya mchele imefika 3000 inakuwaje maana yake gunia la mchelewa 100kg ni kama 300,000.

Rais nashauri Kama miaka 60 ya uhuru umeshindwa kutuwashia umeme, kutupa Maji wakati 30% ya eneo la nchi ni maji tena yasiyo na chumvi na kutupa uhakika wa kula Bora ujiuzulu!!

Watumishi kwenye wizara ya maji wanafanya nini watumishi Tanesco wanafanya nini wanalipwa mishahara kupiga soga tu ofisini nchi inaanguka?

Hivi hii nchi watu mlala kabisa usingizi wakati watu hawana Maji umeme na chakula Cha uhakika?

Inatosha Sana Sana na najua unafanya makusudi tu mbona tulipopiga kelele kuhusu panga Road now wametulia?

Rais tupishe pls watu million 60 Kuna watu kibao Sana wa kuongoza hii nchi sio lazima wewe.
Screenshot_20221116-183403_1.jpg
 
Rais huwa nashindwa kumuelewa, kama anadanganywa na wasaidizi wake kama wengi wanavyomtetea, je, yeye kwa kupenda kwake mitandao ya kijamii, haoni haya malalamiko ya wananchi anaowaongoza?

Jibu lake ni either jeuri au ujinga, au vyote; kwasababu kwa akili ya kawaida, kama kiongozi unashindwa kutatua kero za wale unaowaongoza, basi umeshindwa kazi.

Kwani nchi haiendeshwi kwa kubebana kirafiki, au kauli za sauti laini isiyobadili hali ya mambo, bali inaendeshwa kwa kila mmoja wao pale alipo, kutambua majukumu yake na kuyatekeleza ipasavyo, bila kuleta ngonjera za data za kupika zisizoendana na uhalisia field, yule anayeshindwa aondolewe.

Lakini kuendelea kuwa nae ni ujinga wa anaewateua, kwa sababu mwisho wa siku, incompetency yao inamponza yeye kiongozi.
 
Rais huwa nashindwa kumuelewa, kama anadanganywa na wasaidizi wake kama wengi wanavyomtetea, je, yeye kwa kupenda kwake mitandao ya kijamii, haoni haya malalamiko ya wananchi anaowaongoza?

Jibu lake ni either jeuri, ujinga, au vyote; kwasababu kwa akili ya kawaida, kama kiongozi unashindwa kutatua kero za wale unaowaongoza, basi umeshindwa kazi.

Tulia kijana tunafungua nchi
 
Naona wakosoani na wasiomoenda Rais Samia wanataka kitumia ukame kama fimbo ya ku mkososoa. Iko hivi, Rais Samia ametutoa katika utawala wa mabavu, ametutoa katika nchi ambayo uchumi ulikuwa unaenda kuanguka kwa kukumbatia sera za kijinga. Ametutoa katika nchi ambayo ilikuwa imeanza kutengwa kimataifa...ametutoa katika nchi ambayo ilikuwa haivutii wawekezaji, sasa tumeanza kurudi kwenye mstari.

Msitumie madhara ya ukame kama udhaifu wa Rais. Ukame ni natural. Pengine kama Rais JPM angeendeleza mikakati.iliyo achwa na mtangulizi wake athari.za ukame zisingekuwa kubwa hivi. Lakini yeye aliweka pembeni mipango yote ya serikali akaja na mipango yake ya kukurupuka.
 
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.

Uku maji uku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo!!

Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia anataka tuyagombanie

Imagine leo Mahindi gunia limefika 150,000

Sisi kipaumbele chetu ni kuilisha Kenya au kuhakikisha nchi yetu inakuwa na food security?

Rais anafanya nini? Waziri mkuu yuko wapi? Waziri wa kilimo anafanya nini nchi inaingia kwenye mgogoro wa chakula?

Leo 1kg ya mchele imefika 3000 inakuwaje maana yake gunia la mchelewa 100kg ni kama 300,000.

Rais nashauri Kama miaka 60 ya uhuru umeshindwa kutuwashia umeme, kutupa Maji wakati 30% ya eneo la nchi ni maji tena yasiyo na chumvi na kutupa uhakika wa kula Bora ujiuzulu!!

Watumishi kwenye wizara ya maji wanafanya nini watumishi Tanesco wanafanya nini wanalipwa mishahara kupiga soga tu ofisini nchi inaanguka?

hivi hii nchi watu mlala kabisa usingizi wakati watu hawana Maji umeme na chakula Cha uhakika?

Inatosha Sana Sana na najua unafanya makusudi tu mbona tulipopiga kelele kuhusu panga Road now wametulia?

Rais tupishe pls watu million 60 Kuna watu kibao Sana wa kuongoza hii nchi sio lazima wewe.
Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ameshindwa kuwapa!
 
Naona wakosoani na wasiomoenda Rais Samia wanataka kitumia ukame kama fimbo ya ku mkososoa. Iko hivi, Rais Samia ametutoa katika utawala wa mabavu, ametutoa katika nchi ambayo uchumi ulikuwa unaenda kuanguka kwa kukumbatia sera za kijinga. Ametutoa katika nchi ambayo ilikuwa imeanza kutengwa kimataifa...ametutoa katika nchi ambayo ilikuwa haivutii wawekezaji, sasa tumeanza kurudi kwenye mstari.

Msitumie madhara ya ukame kama udhaifu wa Rais. Ukame ni natural. Pengine kama Rais JPM angeendeleza mikakati.iliyo achwa na mtangulizi wake athari.za ukame zisingekuwa kubwa hivi. Lakini yeye aliweka pembeni mipango yote ya serikali akaja na mipango yake ya kukurupuka.
 
Acha ufala rais anatakiwa kuwa na majibu ya ukosefu wa umeme na maji haraka lakini yupo tayari kutisha kikao Cha dharura kujadili Ndege Ila tatizo la maji na umeme nchi kuvikosa anaona sawa tu!!

Kiufupi hatua rais.
Naona wakosoani na wasiomoenda Rais Samia wanataka kitumia ukame kama fimbo ya ku mkososoa. Iko hivi, Rais Samia ametutoa...
 
Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ameshindwa kuwapa!
Tunataka mambo ya kuwagusa walio wengi kwa wakati mmoja maana kodi hawalipi watoto wa chuo tu kodi tunalipa watanzania wote!!

Kodi zinafanya nini Kama maji hakuna hao wafanyakazi dawasa na Tanesco wanafanya Kazi gani Kama umeme na maji hakuna?
 
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.

Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia...
Nchi yetu inaendeshwa bila Vipaumbele. yani nchi gani inakua kama kilabu cha pombe.. yani kila Rais anayekuja anafanya anavyojisikia yy anaondoka..

Nchi haina mipango..haina maono. hovyooo
 
Rais huwa nashindwa kumuelewa, kama anadanganywa na wasaidizi wake kama wengi wanavyomtetea, je, yeye kwa kupenda kwake mitandao ya kijamii, haoni haya malalamiko ya wananchi anaowaongoza?

Jibu lake ni either jeuri, ujinga, au vyote; kwasababu kwa akili ya kawaida, kama kiongozi unashindwa kutatua kero za wale unaowaongoza, basi umeshindwa kazi.

Kwani nchi haiendeshwi kwa kubebana kirafiki, au kauli za sauti laini isiyobadili hali ya mambo, bali inaendeshwa kwa kila mmoja wao pale alipo, kutambua majukumu yake na kuyatekeleza ipasavyo, bila kuleta ngonjera za data za kupika zisizoendana na uhalisia field, yule anayeshindwa aondolewe.

Lakini kuendelea kuwa nae ni ujinga wa anaewateua, kwa sababu mwisho wa siku, incompetency yao inamponza yeye kiongozi.
Labda anahujumiwa.
 
Kuongoza watu unatakiwa uwe na vision pamoja na mission.
Sio ndiyo tu kwenye kila jambo?
Una tupa hofu hata sisi tuliopo chini yako.
Rais Bendera?
Mawaziri Bendera?
Wabunge Bendera?
Madiwani Bendera?
At the end of the day, a whole system is Bendera.
Hakika atulinde Mola na aiweke salama kwenye mikono salama Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom