Kuelekea 2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,369
3,789
Wakuu,

Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.

Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa namna hii mwenzangu na mimi atakuwa na nafasi ya kushindana na mtu kama huyu? TUNAFANYAJE KUMALIZA HAYA? Kwa kuendelea kuwa chawa na kulalamika?

Narusha swali kwenu Wakuu.

Screenshot 2024-10-25 191927.png

Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Screenshot 2024-10-25 192005.png

Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.

Screenshot 2024-10-25 191949.png

Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.:BearLaugh::BearLaugh:
 
Wakuu,

Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.​

Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.​

Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.​

Festival😅
 
kwahiyo hili nalo linaudhi ndrugo zango?

ila lile la kuchangia wahalifu watoke jela halina tatizo wala lile la kuchangia yule ombaomba kibaraka wa kimataifa sio rushwa..

kutoa ni moyo sio utajiri ndiyo rushwa right ?🤣
 
Wakuu,

Kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekabidhi gari mpya chapa ya Land Rover Discovery yenye Thamani ya Milioni 100 kwa Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma ili kuweza kumsaidia kwenye shughuli zake za kidini Mkoani hapa.

Paul Makonda amekabidhi gari hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa kwenye msikiti Mkuu wa Bondeni Jjjini Arusha leo Oktoba 25, 2024, akiwataja Viongozi wa dini kama msingi mkuu wa amani na utulivu unaoshuhudiwa kote nchini Tanzania.

Kwa Upande wake Sheikh Shaaban Bin Juma baada ya kukabidhiwa gari hilo, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Upendo wake kwa Watanzania, akimuombea Kheri Rais Samia pamoja na wasaidizi wake katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.​

Aisee,
Ungetupia picha ya gari husika basi
 
Nivyema na nisadaka njema sn maana hata makanisa katoa Hela nyingi kule kijijini Kwa Mbowe
 
Back
Top Bottom