Rais Samia Akutana na Kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
28,262
20,132
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afrika Duniani Dkt Tedros .ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
Screenshot_20250120-154930_1.jpg


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom