Rais Samia Akizungumza Na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu ya Dar es Salaam

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
28,687
20,583
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto mbalimbali,muda na kila saa anafanya kazi ya kupanga mipango,mikakati ya kulipeleka mbele Taifa letu kimaendeleo.

Rais wetu kipenzi anafanya kazi ya kitume na ya kujitolea zaidi muda wake wote.

Hana muda wa kupumzika Ziadi ya kuwa kazini muda wote.hana cha usiku wala mchana.ni yupo kazini muda wote. Ni mtumishi wa kweli wa watanzania aliyejitolea kuwatumikia watanzania kwa dhati ya moyo wake.

Rais Samia kwa uchapakazi wake uliotukuka ndio sababu anaendelea kuungwa mkono,kupendwa na kuaminika machoni pa watanzania.

Maisha yake hapa Duniani yamekuwa ni kwa ajili ya kugusa na kubadilisha maisha ya watanzania,kuleta matumaini kwa watu,kuwainua watu,kuwapa njia watu ,kuwaongoza watu katika njia yenye kuleta matokeo Chanya na mafanikio makubwa.

Tizama hapa pichani Mama yetu Mpendwa akiongoza kikao na kuzungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango .hii ni katika kuweka muelekeo na mipango pamoja na mikakati ya pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa letu.Rais Samia kwa hakika ni nuru kwa Taifa letu.
Screenshot_20241111-224053_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto mbalimbali,muda na kila saa anafanya kazi ya kupanga mipango,mikakati ya kulipeleka mbele Taifa letu kimaendeleo.

Rais wetu kipenzi anafanya kazi ya kitume na ya kujitolea zaidi muda wake wote.hana muda wa kupumzika Ziadi ya kuwa kazini muda wote.hana cha usiku wala mchana.ni yupo kazini muda wote. Ni mtumishi wa kweli wa watanzania aliyejitolea kuwatumikia watanzania kwa dhati ya moyo wake.

Rais Samia kwa uchapakazi wake uliotukuka ndio sababu anaendelea kuungwa mkono,kupendwa na kuaminika machoni pa watanzania. Maisha yake hapa Duniani yamekuwa ni kwa ajili ya kugusa na kubadilisha maisha ya watanzania,kuleta matumaini kwa watu,kuwainua watu,kuwapa njia watu ,kuwaongoza watu katika njia yenye kuleta matokeo Chanya na mafanikio makubwa.

Tizama hapa pichani Mama yetu Mpendwa akiongoza kikao na kuzungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango .hii ni katika kuweka muelekeo na mipango pamoja na mikakati ya pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa letu.Rais Samia kwa hakika ni nuru kwa Taifa letu.
View attachment 3149770

Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Huyo Mafuru kafufuka au macho yangu tu?
 
Na hizi comments humu ni uthibitisho mwingine jinsi wagalatia wanavyotamani rais mwislam afe,

Atakufa kwa wakati wake alioandikiwa na Mungu na sio kwa kutamani kwenu
 
Back
Top Bottom