BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,572
- 11,985
Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.
Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.
Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.
Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.