Rais Ruto huu ni ukweli au mipasho Kwa jirani zako?

Day 1 gongs

JF-Expert Member
Oct 5, 2022
391
756
Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki,

“Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
 
Yuko sshihi.
Rais kwenda nchi za Uarabu ni sawa na utalii, mwarabu kamwe hawezi kukuinua kimaendeleo zaidi atakomba rasilimali zako.

Rais Samia na Mwinyi ufike wakati sasa waone haya kuzurura uarabuni kila uchao.
Mwarabu wanatoa mikopo bila riba!
 
Back
Top Bottom