BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,400
- 11,670
Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa.
Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui.
Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana kuna baadhi ya madeni ni ya Mchongo au watu walikopa Individauly wakala na sasa Serikali ndio inalipa.
Je Sisi tunajua uhalali wa hili Deni la Taifa?