Mungu angekua hua anasikiliza sala za kuwaombea WAFU/Marehemu huyu hawezi kugusa jehenamu hata kidogo, bahati nzuri Mungu hua hana time na SALA za namna hiyo, sijui kwanini viongozi wa dini hua hawatwambii ukweli! Tujiandae wenyewe hapa hapa duniani, tusisubiri eti kuna mtu atakuombea kwa Mungu, kama Mungu angekua anatega sikio walau dakika 10 tu, watu maarufu kama huyu wote nyumbani kwao kungekua PEPONI tu na jehanamu wangejaa masikini. Thank God Mungu hana upendeleo. (Maandishi yangu hayana maana kwamba marehemu kaenda JEhanamu, ajuae hilo ni Mungu muumba wa mbingu na nchi pekee)Utaratibu wa mazishi ya Mzee Selemani Kikwete:
1. Alhamisi mwili utapokelewa Dar es salaam international Airport mchana na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Jeshi Lugalo.
2. Ijumaa ataoshwa na kufanyiwa taratibu nyingine huko huko hospitali mwili utaletwa nyumbani kwa marehemu Mikocheni.
3. Jumamosi asubuhi mwili utaswaliwa hapo nyumbani asubuhi na safari ya kuelekea nyumbani kwake tena Kiwangwa itaanza.
Mwili utashushwa Kiwangwa nyumbani kwa muda mfupi ikifuatiwa na ibada ya swala ya maiti.
Baada ya ibada hiyo safari itaendelea kwenda Kijijini Msoga nako pia utafikia nyumbani. Hapo nako pia kutakuwa na ibada mbali mbali na kufuatiwa na chakula.
Baada ya chakula mwili utaswaliwa tena kwa mara ya mwisho na kuelekea makaburini kuzika.
Lakini kuanzia leo mpaka ijumaa dua zitakuwa zikiendelea hapo nyumbani kwake mikocheni kila baada ya swalat Magharib.
Inna lilahi wainna ilyhi raajiun.
Eee bwana eeeh, kumbe? Naomba kujua, hizo nafasi walizipata kwa technical know HOW or technical know WHO!?Poleni sana watoto wa Marehemu. Mama Tatu Seleman Kikwete (Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha) na Mwanaisha Kikwete (Afisaelimu Msingi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe)